Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tatiza la Mkapa kuwa na matamasha ya mara kwa mara ni kutokana na kuwa hatuna indoor Arena kubwa ya kutosha. Hata matamasha ambayo yanatakiwa kufanyika kwenye indoor arena yanafanyika Mkapa. Mfano:
1. Maombi na Mikesha ya Injili
2. Mashindano ya Quran
nk.

Huwezi kuwazuia wasifanye eti kwamba wewe upo kwenye ukarabati. Wao wanahaki ya kufanya hivyo. Na ukitaka kuwazuia utawapeleka wapi?

Solution ni ile indoor arena ijengwe kwa haraka sana. Nchi imeshakua sasa.
Mbona mwamposa ana Tanganyika Packers na anabeba watu kuliko mkapa yenyewe
 
Magufuli Day.
View attachment 3274460
View attachment 3274461

From here
View attachment 3274478
Mpaka kununua umeme Ethiopia.

May he continue to rest in peace.

Hawa tulionao waangalie basi na solution zao za utelezi wa ganda la ndizi kwenye inshu ya kitaifa.
rais wa awamu ya tano aloishangaza africa na dunia huku kila nchi ikitamani awe rais wao, tukio la corona lakusema hakuna lockdown wala quarantine lililoishitua dunia mpaka kesho

Rest easy mzee wetu kwa kweli tunakukumbuka sana kama vile kauli yako ulosema kua ukiondoka mambo yatarudi yale yale na ni kweli 🙏🏻
 
Wacha upumbavu hivi unafikiria ku-update ramani ya nchi nzima na geo coordinates na kuweka all details ni rahisi tena baada ya miaka 46?
hio ramani ya zamani inshida gani so far?
una update kitu gani kigeni hapo so far?

hvi nyinyi munafkiri watanzania ni wajinga kiasi hicho??
163b wakat kuna miradi imekuwama hata hujui shida ni nn???
 
hio ramani ya zamani inshida gani so far?
una update kitu gani kigeni hapo so far?

hvi nyinyi munafkiri watanzania ni wajinga kiasi hicho??
163b wakat kuna miradi imekuwama hata hujui shida ni nn???
Mambo yamebadilika sana ndio maana migogoro ya ardhi haiishi! The whole of Tanzania needs to be surveyed!
 
hio ramani ya zamani inshida gani so far?
una update kitu gani kigeni hapo so far?

hvi nyinyi munafkiri watanzania ni wajinga kiasi hicho??
163b wakat kuna miradi imekuwama hata hujui shida ni nn???
Duh! watu kama nyie, Wahafidhina ndio mnafanya nchi isiendelee. Umeshawahi kusoma topic ya map reading?
 
Mambo yamebadilika sana ndio maana migogoro ya ardhi haiishi! The whole of Tanzania needs to be surveyed!
I like this. Tunaishi na ramani ya wakoloni. Tunatakiwa kubadilisha kila kitu. Kila kipande cha ardhi ya Tanzania lazima kiwe recorded. Vilima na Milima lazima iwe kwenye ramani. Mabonde yote lazima yawe recorded. Mipaka ya vijiji, mitaa na vitongoji lazima viwe recorded.

Watu wasiojua wanaweza kuona kuwa ni kazi rahisi. Hivi kweli Tanzania itegemee google maps kweli?
 
Kwani pitch ilitumika? Ikumbukwe wanalipa kukodisha uwanja!
Just mzee nasema inafanya kufanya matengenezo iwe ngumu. Kwa mfano kuna kuondoa viti, hapo Mkandarasi anashidwa kuondoa kwa sababu kila muda event, hata ukiangalia picha kuna Sehemu wameng'oa viti sehemu nyingine wakaacha.

Na kuwa na event kila mara inafanya kuwe na ucheleweshaji wa kukamilisha uwanja.

Basi tu, Wafanye wanavyotaka.
 
Duh! watu kama nyie, Wahafidhina ndio mnafanya nchi isiendelee. Umeshawahi kusoma topic ya map reading?
hahahahhaha nchi isiendelee kwan sisi ndio tumezuia nchi isiendelee wakat madudu yamejaa kila kona, leo unasema watanzania 100% hawana njaa hehehehe🙌🏻🙌🏻

juzi namsikia mzee mmoja analalamika hospitalini madawa hakuna ndio haya mambo munataka watu washangilie, watu wanaumia sana usifanye masikhara
 
Back
Top Bottom