Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimependa Comments.

Screenshot 2025-03-19 121632.png

Screenshot 2025-03-19 121534.png

Screenshot 2025-03-19 121601.png

Screenshot 2025-03-19 121622.png

Screenshot 2025-03-19 121639.png
 
Naivasha-Malaba imefikia wapi? If the idea is to wait for Ethiopia to build her side! Why no building together like Tanzania n Burundi have done!
Kwani mnatupangia vile tunafanya kazi? Kama Ethiopia has decided to start building on their side then shida yenu ni nini?
 
Km 300 za kwenda Malaba your ready market zimewashinda ndio 700 za Moyale muweze? 😅😅😅
Basi Nenda ukawambia Ethiopian government wasijenge their side because Kenya has completed railway to Malaba.
 
😂😂😂😂😂
Brainwashing in progress
Ivi ndo mliambiwa Kenya ni ya wazungu
Alafu the fact that you rushed here to post😂😂😂
Kama una akili timamu utakubali kweli Tanzania ina pesa zaidi ya Kenya tuanzie tu kwenye miradi ya serikali, tukilist miradi inayoendelea saivi Tanzania ni mara 20 ya Kenya, ukiondoa ppp ya mchina nini kingine kinafanyika Kenya kwa sasa?
 
Mzee Burundi ikifika tayari DRC na Rwanda tumemaliza sababu ni pua na mdomo unless Geography ulizungusha
Eastern DRC is still unstable, alafu Rwanda na Burundi hawaelewani hata their borders are closed, Rwanda will definitely opt for the Uganda route. Hapo mumebaki na Burundi pekee. 🤣 🤣 🤣
 
Back
Top Bottom