buffalo44
JF-Expert Member
- May 8, 2016
- 5,129
- 13,119
Yaani hasara ni nyingi kuliko faida.Halafu wategemee Shilling upande thamani? Nina uhakika watatumia dollar kununua huo umeme.
Swali La msingi hizo MW 2115 zinapelekwa wap, wanazima mitambo au vip?
Kimsingi nashauri watutafutie Rais mwingine mwaka huu. Vinginevyo 2030, hii nchi itakuwa hapa hapa. No progess
Mwezi wa tatu huu sioni.Mwendokasi mpya, au zimekwama?