Fundi kitasa
JF-Expert Member
- Mar 17, 2021
- 2,626
- 7,180
Machawa hawanaga akili yani kujenga transmission line wameshindwa wamekimbilia kununua umeme njee sasa huo umeme mwingi tunaozalisha tutamuuzia naniHao kenge wana matatizo sana.
Muda huo huo kuna umeme wameunganishia Kenya unatoka Tanzania.
Kwanini hawawazi kupanua Nyumba ya Mungu, Hale Dam?
Au kujenga Hydropower.
Maana ukiangalia Reservoir ya Nyumba ya Mungu ni.kubwa sana. Same kwa mtera.
Kuna watu akili.zimepinga.
Imagine kuna Mpango.wa kuuzia Zambia Umeme na wewe unadai kuna upotevu.
Si wajenge VITUO VYA.KUPOOZA UMEME sasa?