joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Wanajua yote hayo, ila hawana jinsi lazima wajipe matumaini ili maisha yaendelee, wakipoteza Uganda hawana nchi nyingine ya kuegemeaalaf hajui kama museven kasomeshwa na kapewa uongozi na tanzania, haijui tanzania vzr huyo
**** la jiwe....ata mpewe izo nchi zotehamtaifikia kenyaWanajua yote hayo, ila hawana jinsi lazima wajipe matumaini ili maisha yaendelee, wakipoteza Uganda hawana nchi nyingine ya kuegemea
Sasa unajua Ndii na sijui vice president wenuMsikilize au soma articles za Dr.Ndii anavyoizungumzia Tanzania, kumbuka huyu jamaa mwaka huu ametajwa kuwa nafasi ya 26 duniani miongoni mwa wasomi economists bora zaidi, au msikilize Baraka Mwiluka, au PLO ndiyo watakupa picha ya wakenya wanavyoitaja Tanzania, achana na vichaa wa humu JF.
Will be going back to the 90s yani naelekea Tz wadau.
Will be going back to the 90s yani naelekea Tz wadau.
My 12year old Nephew keeps reminding me that am going back in time...Hahahaha ati border ya Namanga ni Time machine.
Ndiyo ufahamu kwamba nimekuzidi kwa mbali sana katika kujua mambo ya dunia, na ulivyo mjinga unajisifia kwa kutojua mambo, kwahiyo unalazimika kunisikiliza mimi mwalimu wakoSasa unajua Ndii na sijui vice president wenu
Kwa sifa za kijinga sina uhakika kama tutawafikia, kwetu muhimu zaidi ni kupunguza umasikini, kupunguza ukosefu wa ajira kwa vijana, kuwa na chakula cha kutosha kwa wananchi, kuwapatia wananchi makazi bora, kuwa na amani, umoja na amani, hivyo ndivyo vipimo vya maendeleo kwetu, vyote hivi tupo mbele tena kwa mbali sana**** la jiwe....ata mpewe izo nchi zotehamtaifikia kenya
Wao wanajisifia maua ya wazungu.Kwa sifa za kijinga sina uhakika kama tutawafikia, kwetu muhimu zaidi ni kupunguza umasikini, kupunguza ukosefu wa ajira kwa vijana, kuwa na chakula cha kutosha kwa wananchi, kuwapatia wananchi makazi bora, kuwa na amani, umoja na amani, hivyo ndivyo vipimo vya maendeleo kwetu, vyote hivi tupo mbele tena kwa mbali sana
Haha kujua tz ndio exposure???? KumaaKwa sababu huna exposure.
Unajua vice president wa Somalia,chad,Liberia??????....but unajua wa Kenya..... Yani hadi unajua Governor wa turkanaNdiyo ufahamu kwamba nimekuzidi kwa mbali sana katika kujua mambo ya dunia, na ulivyo mjinga unajisifia kwa kutojua mambo, kwahiyo unalazimika kunisikiliza mimi mwalimu wako
Tena utakuwa umesaidia sana,tukiwaambia sisi hatuna slam kama kibela mnabisha na mapovu juu,ukuje ujionee kwa macho uthibitishie wakenya kwa picha.Mimi nataka kufika Mbagala na manzese! Get that into your thick skull halafu nichukue picha kadhaa niweke JF nzuri na mbaya.
Wewe tena,unayeamini kenya ni ligi moja na us,sisi hatusumbuki na vichaa.Sasa unajua Ndii na sijui vice president wenu
Povu.exposure ni kujua mkenya anashinda njaa.Haha kujua tz ndio exposure???? Kumaa
Ni muhimu kumjua mzee,thays why ukajidai mkenya mbele ya russia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23].unasifu uhuru na kuwa na mob followers in tweeter kuliko putin eti.uhuru ni kuweza zaidi.Unajua vice president wa Somalia,chad,Liberia??????....but unajua wa Kenya..... Yani hadi unajua Governor wa turkana
Ongeza iandike 90b kabisa,but haitulishi chochote kenya.Naona mnalia lia sana
GDP yenu = 47
Kenya = 75b
Mtalialia tu milele
Ni muhimu kumjua mzee,thays why ukajidai mkenya mbele ya russia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23].unasifu uhuru na kuwa na mob followers in tweeter kuliko putin eti.uhuru ni kuweza zaidi.
Kuwa mkenya ni bahati mbaya zaidi duniani.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] chance ametoa uhuru juzi ya kuingia nchini bila pass.sijui chance gani unazungumzia.ukipewa chance ya kuwa mkenya huwezi kataa ....hata kama utakaa.We are special bana
TZ $51.3Naona mnalia lia sana
GDP yenu = 47
Kenya = 75b
Mtalialia tu milele