The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,485
- 98,538
Hakaelewi chochote kuhusu customs ni kabishi ka kakuzaliwa kachokoraa hako.Kumbe ports zenu ziko outdated namna hiyo!? Unafanya customs verification kwa mzigo ambao ni wa Transit for what? Unajua dhumuni la kufanya customs verification ni nini!?
Hizo container za Transit huwa zinapita kwenye scanners tu. Hakuna haja ya kufungua seal za container maana documents za mteja zina onesha seal number. Sasa unakata seals then mteja unamuwekea seals gani hapo tena!?