Hawa mungiki tunabishana humu ila rohoni wana ukweli wote.tz ni zaidi ya nchi ya mfano.Wakenya wanaonesha mahaba yao kwa Tanzania huko YouTube sijapata onaView attachment 656302 View attachment 656303
Ni kweli wakenya hawapo proud na nchi is yao wengi wanapenda Tanzania ndio maana wakija Tanzania hawaondoki tena na wanang'ang'ania sana kuja Tanzania.Hawa mungiki tunabishana humu ila rohoni wana ukweli wote.tz ni zaidi ya nchi ya mfano.
Shida ipo kwenu kenya.ambako msomi hawezo ongea na asiye msomi ati ni kujiabisha.Wadanganyika wako na shida tupu kweli..... kama waliosoma ndio wanajiabisha huku JF.... jee wanaokufa na umaskini wa ujamaa mashinani... Jesus just come down and listen to these voices.
Wapi yule fala anayeitwa Barbarosa,aone kenyans r the ones Obsessed with BongoHivi kwanini wakenya wanaizimikia Tanzania hivi View attachment 656298 View attachment 656299
Huna point dumb assWadanganyika wako na shida tupu kweli..... kama waliosoma ndio wanajiabisha huku JF.... jee wanaokufa na umaskini wa ujamaa mashinani... Jesus just come down and listen to these voices.
Sio wakenya pekee, DRC ni zaidi wakifuatiwa na Malawi, Mozambique japo lugha ni shida, ila wakimuona mtanzania wanatamani sana uje nao BongoHawa mungiki tunabishana humu ila rohoni wana ukweli wote.tz ni zaidi ya nchi ya mfano.
Ni kweli wakenya hawapo proud na nchi is yao wengi wanapenda Tanzania ndio maana wakija Tanzania hawaondoki tena na wanang'ang'ania sana kuja Tanzania.
Hivi kwanini wakenya wanaizimikia Tanzania hivi View attachment 656298 View attachment 656299
Rwanda na Burundi ndugu usiwasahau. Wasomali na Waethipia Tanzania ni nchi ya kimbilio lao.Sio wakenya pekee, DRC ni zaidi wakifuatiwa na Malawi, Mozambique japo lugha ni shida, ila wakimuona mtanzania wanatamani sana uje nao Bongo
Hawa mungiki tunabishana humu ila rohoni wana ukweli wote.tz ni zaidi ya nchi ya mfano.
hii ni hasira sasaHuna point dumb ass
Shida ipo kwenu kenya.ambako msomi hawezo ongea na asiye msomi ati ni kujiabisha.
Eti wanaokufa na umasikini!!!!wapi tz???
Achia miraa sungura buda.jesus is in tz longtime ago,thats why we have peace.
I tell you. A Tanzanian visits a Kenyan page for proof. Wah!!!!Wapi yule fala anayeitwa Barbarosa,aone kenyans r the ones Obsessed with Bongo
unazungumzia nani?Ni kweli wakenya hawapo proud na nchi is yao wengi wanapenda Tanzania ndio maana wakija Tanzania hawaondoki tena na wanang'ang'ania sana kuja Tanzania.
obsessed with LDC?Wapi yule fala anayeitwa Barbarosa,aone kenyans r the ones Obsessed with Bongo
Meanwhile, omba omba wenu wamejaa Nairobi...Rwanda na Burundi ndugu usiwasahau. Wasomali na Waethipia Tanzania ni nchi ya kimbilio lao.
Ldc isiyo na slams.mtu mwenye akili zake timam atoke Kenya aende LDC?
Mimi nataka kufika Mbagala na manzese! Get that into your thick skull halafu nichukue picha kadhaa niweke JF nzuri na mbaya.Unachekesha
uje ujionee
wenzie tulisha kujanao huko toka Mobasa
Niliwatembeza kwa muda wa siku 4 tu hoi hawana hamu
Niliwaambia Chukua Nairobi+Mombasa+Kisumu+Nakuru
bado Dar kubwa
pole sana kwa siku hizo 17
labda utaishia Kariakoo
Acha buda,haya mambo hayataki hasiraKenyans are obsessed with a 4th world country
Fourth World: Least Developed Countries And A Look At Their Economy