Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,994
hio ni reli ama vumbi?πππInajengwa. Wewe tuliza kidogo tu. Hatutanii rafiki.
πππah kumbe ni reli mita mbili ya kupigia picha rais...πππleta projecxt nzima kama nilivolta picha za SGR trains, wagons, passengers, stations etc...sio upuuzi huuππNipende tu kukuonya sifa za kashata (Kenyatta) usimpe Magu.. Magu hana ahadi hewa[emoji23][emoji23] akisema tu the next sec mambo yanaanza kufanyika
Ni vumbi la matengenezo ya reli. Unadhani Reli inashuka tu kama uyoga. We paid cash rafiki.
sina hasira kabisa labda wewe uwe na hasiraππpole kwa hasira
ukileta picha za reli nitagTulia unyolewe wewe. Mashine ya kunyoa imewashwa tu unataka kunyanyuka
another renderππππππKenya railway to be electric in 4 years...pole bro
forget about electric rain, just put into dreamsπwe dont have enough power for now by 2020 itakua...nyinyi mnajenga electric na poewer yenu ya 800 mw
umeskia mimi ni chewing gum?Nataka leo nikubandike na kukubandua upo tayari?
Wivu unakutafuna bro[emoji23][emoji23] ikikuingia sana niambie nipunguze usije ukachafua mazingira[emoji23][emoji23] Ushaambiwa ndio inajengwa.. Yani wale ma constructor wanajuta kuja kufanya kazi Tz[emoji23][emoji23] kila saa waziri yuko nyuma kazi masaa 24 wanafanya kwa shiftπππah kumbe ni reli mita mbili ya kupigia picha rais...πππleta projecxt nzima kama nilivolta picha za SGR trains, wagons, passengers, stations etc...sio upuuzi huuππ
wow i love renderππππ