Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jana mmepost humu kwamba Burna Boy mwenyewe kaja na sound system yake. Leo hiyo hiyo sound system ya Burna Boy mnaitumia kuiponda Kenya. Mbona msimponde huyo Burna Boy mwenyewe mwenye mlisifia kwa kuchagua kuja na system yake mwenyewe?
 
Indoor Arena yenye capacity ya seat 15K inajengwa Kawe Dar es salaam
Haya hapa ni mawazo yangu na makisio ya Modern Arena.

Cost Breakdown (Estimated)​

ComponentEstimated Cost (USD)
Land Acquisition$5M – $20M
Design & Architecture$10M – $30M
Construction & Materials$50M – $150M
Seating & Interior$10M – $40M
Roofing & Structural Work$15M – $50M
Technology & Equipment$10M – $30M
Safety & Accessibility$5M – $15M
Miscellaneous & Permits$5M – $15M
Total Estimated Cost$100M – $300M
 
Niiogope mombasa kwa mashoga.? Heb ulizia watu wakwambie vile watu wa Tanga tunavyowadharau watu wa mombasa, wamelemaa midomo wakiongea 🀣🀣🀣 ndio niiogope.? Niache kuogopa watu tough around Tz, niogope mashoga.?
Hapa kwenye hili jukwaaa wewe na Watchman ndo hamjafika 001 na tunakuja sababu ni pesa. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Jana mmepost humu kwamba Burna Boy mwenyewe kaja na sound system yake. Leo hiyo hiyo sound system ya Burna Boy mnaitumia kuiponda Kenya. Mbona msimponde huyo Burna Boy mwenyewe mwenye mlisifia kwa kuchagua kuja na system yake mwenyewe?
Jana Sound System ilikuwa ya Burna Boy, leo hii tena imekuwa ya Wakenya just because the quality of Burna Boy’s system was poor. Huyu mzee atachizi siku moja.
 
Sawa usijali, Ikiwa umeamua kuchukua negativity ni chaguo lako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…