Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umesema tu Lasarani name written using seats wengine washawaka moto eti ooh, unasema this is the first in East Africa eti ooh we already did it in Amaan Stadium. Hawa majamaa inferiority complex itawaua. πŸ˜‚ πŸ˜‚
Nakuambia hii mambo ya Kasarani inawauma sanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Mark my word, Semi Finals za AFCON zitachezwa Kasarani alafu Finals Talanta.
 
Hawa watu wanachekesha sana. Yaani nisafiri kutoka mkoani au nchi jirani halafu nianze kununua vitu saa sita au nane usiku?!! Mambo ya 24hrs wawaachie super market na wauza chips na huwa inakuja naturally sio kwa uchawa.
Na wameendaa event juzi hapo Kariakoo..sijui wametumia sh ngap kwenye event ile ya kufungua 24hrs.
Yaan pesa zinatumika ovyo siku hiz wakati tuna challenges kibao.
Msimbazi street imezidiwa, hakuna hata sehemu ya kupita, huku boda, huko bajaji, huku machinga., huju ujenzi...Na siku hiz pamekuwa pachafu sana.

Mimi ningekuwa mayor.
Marufuku ya all vehicles kupita msimbazi street kutokea msimbazi A hadi uhuru street with exception of Mwendokasi tu.
Mtaa unaofuata wa likoma ungekuwa one way na Ndanda oneway...halafu naweka mataa kwenye makutano yake na uhuru road.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…