Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hold up, β€œTANZANIAN STARTUPS HAVE NEARLY $300m SINCE 2019” that is 5 years.
Pick any year in Kenya
2022

2023

2024


all the 5 years don’t even amount to half the figures raised in 6months in a bad year in Kenya
But you will believe anything that paints Tanzania in good light, way to be patriotic champ.
 
Hii hapa ni video ya celebration ya jeshi la Tanzania in UG baada ya kum overthrow Amini. Na tulimuweka raisi tuliemteua sisi by the time. πŸ‘‡πŸΎ
View: https://youtu.be/0nyLTT3OB3E?si=mXAqMnArtsD7ZJln. Nyie ******* najua hamna masomo ya Historia na huwa mnaona tu tukizungumza humu,

Haya toeni upumbavu vima nyie. mwaiofhawaii na wewe zuzu. IamLee.

Sisi tunaweza kumtoa hata huyo ruto madarakani, tukitaka.

This is the true meaning tulisema Tz imeshiriki kuleta liberation in Africa.
 
Umeelewa swali. Games played in Night.

Kwani wakati Timu yenu inazurura malawi na Uganda uwanja ulikua wapi?
Wewe si next utaitisha picha ya yanga wakicheza na simba huko nyayo usiku, na ukiletewa utaenda kitu ingine tena
 
Hizo start-ups zinaproduce nini? Sababu hata export tumewadouble, what are you producing? Investment tumewadouble, FDI tumewatriple kabisa
 
Mbagala hii moja au ingine??
Leta hizo picha tafadhali, pengine simu yangu ina shida

 
hoja zimekushinda sasa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

ndio maana hua nakwambia tukisema tuongee facts kiukweli utatapika mzee

kama unafkiri bagamoyo port haikua na shida kwenye ule mkataba mbona hamufufui tena ule mkataba wa awali uliokataliwa na magu
 
Hizo start-ups zinaproduce nini? Sababu hata export tumewadouble, what are you producing? Investment tumewadouble, FDI tumewatriple kabisa
And that’s why folks, education is important.

Ladies and gentlemen, i present to you a submission to nominate this for post of the week.
This one takes the post of the week easy, clean unless Alaska decides to drop a bomb soonπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…