Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Eti na sehemu ya Uganda kidogo. 🤣🤣One source of electricity ya Tanzania inaweza endesha Kenya nzima na sehemu ya Uganda kidogo
Eti na sehemu ya Uganda kidogo. 🤣🤣One source of electricity ya Tanzania inaweza endesha Kenya nzima na sehemu ya Uganda kidogo
Sio propaganda mkuu ni uhalisia hao jamaa wamepika Data ili tuonekane tupo sawa au tunakaribianaEti na sehemu ya Uganda kidogo. 🤣🤣
kumbukeni kuna mradi wa Kinyerezi I n II expansion, solar power around 150MW, mradi wa hydropower Tanzania, Rwanda na Burundi Rusumo around 23MW na Malagarasi na Ruhudji pia U/C! In total over 600MW in the works!Sio propaganda mkuu ni uhalisia hao jamaa wamepika Data ili tuonekane tupo sawa au tunakaribiana
www.power-technology.com
www.esi-africa.com
www.power-technology.com
Vijamaa tunavizidi mbele ya macho Yao lakini havikubali 🤣🤣🤣 yaani tunavipelekea moto kila sector, ila bado vinakaza fuvu.Sio propaganda mkuu ni uhalisia hao jamaa wamepika Data ili tuonekane tupo sawa au tunakaribiana
Walikuja wengi sana. Magari yenye namba za Kenya yalikuwa mengi sana. Hotel niliyofikia kulikuwa na magari madogo kama 7 na mini bus za Wakenya. Wanapenda sana vibe la Kili marathon.Nimekutana na wakenya wengi tu kili marathon,
Hakuna event ya maana nchini kwaoWalikuja wengi sana. Magari yenye namba za Kenya yalikuwa mengi sana. Hotel niliyofikia kulikuwa na magari madogo kama 7 na mini bus za Wakenya. Wanapenda sana vibe la Kili marathon.
hata Chris Brown anajua! Humu ndani wanaponda Tanzania wakati Twitter wako-proud ku-post their visit to Tanzania!Hakuna event ya maana nchini kwao
Sawa.Mbona yale yale soma mstari wa Kwanza. Au rudia kusoma kabisa
some places in Africa zinakaa US Cheki hizo estates za mauritius 👇🏾.
View: https://youtu.be/2ZsD6BoKgO8?si=5eo-AcqPgo7uCpVh. We mpumbavu mkosa elimu mwaiofhawaii njoo ujifunze africa. 🤣🤣🤣
Ok Baghdad Bob… repeating a lie over n’ over doesn’t make it true… what’s so special about Fumba that Kenya top estates don’t have?… and stick to reality…Unataja vimitaa vya kawaida. 🤣🤣🤣 As I told you, no estate in kundu render republic can relate.
Hizo takataka unataja, ni same level na mikocheni or elsewhere in TZ.
Narudia tena hakuna estate ya kulinganisha na Fumbas in the region. Tuliza kinyeo usilazimishe vitu ambazo hazipo.
Naona umepata kichaka cha kujificha baada ya kipigo kizito. 🤣🤣🤣 Jitu zima pumbavu wewe.So you are bragging to me about Mauritius…. What happened about Tanzania?….did you first see the headline?… some places in Africa zinakaa US …that means am used to it ..You look foolish… I have no doubt there are luxurious real estates in many parts of Africa, unfortunately I can’t say the same for TZ aka Vumbistani ..🤣🤣🤣…Jenga kwenu first, stop burying your shame by raining in Mauritius’ parade…stay in your lane 😁