Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

When we tell these fools sisi ni mfano wo kwa kila kitu wanabisha!


View: https://x.com/bedjosessien/status/1894081796825866493

Screenshot_20250207-220235~2.png
 
Hawa wasenge hawaandai Chan wala afcon, canopy tu kumaliza inawachukua miezi 6, uwanja mpaka leo hata viti hakuna, wameweka viti V.I.P pekee angalia kule mbele hakuna viti, hawa watu ni mafukara sn, yn hakuna kitu wanaweza mpaka waombe msaada kwa mchina, majokers.View attachment 3248541
Ndio maana wewe ni watchman, akili ni zero. Huna fungua hata video yet unasema stadium haina viti, Kwani mshahara wako umeisha hadi kununua bundles imekushinda?
 
HEET ni mradi ambao nimeupenda sana na ninaona ni sawa kuwa tumekopa for this , vyuo vyetu vilikuwa vina capacity ndogo sana, watu walikuwa forced kwenda private au kusoma diploma,ukizingatia na population yetu , hii project itapunguza sana congestion kwenye vyuo,
Tanzania ilikuwa nyuma na kuzidiwa na Majirani wote kwenye Tertiary education enrollment kasoro Burundi so HEET ukiacha kwamba itaongeza udahili Bali inaenda sanjali na Mageuzi ya Mitaala,kusomesha Wataalamu wabobezi na kuimarisha Elimu yetu Kwa Jumla na kuchangia innovation How Sh972 billion will improve higher education in Tanzania

Good enough Vyuo Vikuu vimesambazwa Mikoa yote Tanzania
 
Back
Top Bottom