Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Mbona hizo numba ni za kawaida tu you can find them even in mbagala Dar es salaam. Au we unaona u special gani hapo wa kulinganisha na ile most expensive house in the region. Eti kwanye haka kajumba unaona u special upi.? 🤣🤣👇🏾Ebu linganisha hizo nyumba na kile kibanda kinauzwa Ksh10M pale Vumbistan 😂😂