Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Beautiful JNIA
IMG_4094.jpeg
 
Me nimekuja kukimbia zangu Moshi kili Marathon enjoying good life . We uko wapi sahii.? Kibera huko unapigizana kelele na vilaza wenzako.
Siku hizi kukimbia is enjoying life?😂😂😂.

Wakati Mimi I’m moving from one mall to another sampling food joints there wewe unafurahia kukimbia kwa jua😂😂
 
Siku hizi kukimbia is enjoying life?😂😂😂.

Wakati Mimi I’m moving from one mall to another sampling food joints there wewe unafurahia kukimbia kwa jua😂😂
We bhana huna cha kujibizana na mimi, we jichoche tu. I’m no longer that way. Sahii nipo far better than at least you and three of your brothers.

Unazungumzia mall ipi.? Na juzi tu uliniulizia kuhusu nguo za ndani za bei chee huku Bongo.? 🤣🤣🤣 labda hiyo mall ni kibera mall.

Ishi maisha yako kijana usaidike, wacha kujichocha on social media, while una suffer huko.

Just a little advice to you young bro.
 
Back
Top Bottom