Mbona unachagua picha si uliweka picha zaidi ya moja sasa zile picha nyingine huzitaki tena? 🤣🤣🤣🤣
Mbona unachagua picha si uliweka picha zaidi ya moja sasa zile picha nyingine huzitaki tena? 🤣🤣🤣🤣
Seriously can you compare that na living conditions in kibera, pipeline, mathare, mukuru kwa njenga?
Yet, kwenye chicken consumption tumewaacha mbali.Yes KFC ya Prestige si iko Kibera. Kumbe hujui. 🤣 🤣 🤣
Bado lipo hawawezi kuliondoa kabla hawajamaliza kuweka lami! Hiyo picha imekuwa-edited! Hata crane bado ipo haijashushwa!Sidhan kama lipo
Distance inahusiana aje na eneo kuwa pori?Unajua Bunju ni how many kilometers from CBD?
Yes, KFC Southfield Mall just next to Mukuru Kwa Njenga slum.Mukuru kwa Njenga ipo?😁
Unaongea hapa yet Tanzania imports fertilized eggs from Kenya. Consumption yenu pia iko chini bado.Yet, kwenye chicken consumption tumewaacha mbali.
Nairobi has no competitor in East Africa apart from Addis Ababa.
There is no place in Tanzania that can be compared with Riverside Nairobi.
View: https://youtu.be/HgQuk5DB-J0?si=0_NsHYExdUuOPIEX
Yaani unacelebrate vitu vya ajabu...ati KFC!KFC in Tanzania hazifiki kumi. Nairobi alone has more than 40.
Yaani hata hakujapoa baada ya Raila kuangukia pua kuna project Uhuru inamea! Another whole ministerial budget about to be burned!
View: https://x.com/jimNjue_/status/1891543696916553928
MY TAKE
NATO ally hebu mleteni tuone! 😛 😛 😛 😛
sasa kama unaishi kwa slum unafikiria kila mtu anaishi kwa slum kama wewe 😂Mwenye uelewa mkubwa unaishi kwenye slum
What do you think?What is so special hapo?
Yaa kati ya wakazi 3.5m wa Nairobi wanaoishi kwenye slums wewe haupo au wewe ni mpokoti?sasa kama unaishi kwa slum unafikiria kila mtu anaishi kwa slum kama wewe 😂
You should change your name to much not know 😂Yaa kati ya wakazi 3.5m wa Nairobi wanaoishi kwenye slums wewe haupo au wewe ni mpokoti?