Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbona unatuforce kuingilia vigogoro vyeni na vinchi vidogo size ya County Moja hapa Kenya? You're always angling for our validation aren't you?
Vigogoro. If you are smart usingeongea hivyo ikiwa kwenye COALITION OF WILLING (COW) Rwanda alikua mtu muhimu kwenu.
 

View: https://x.com/TanzaniaInvest/status/1891390754259456371?t=GWvvqkROo0vDommaazW6EQ&s=19
Note
Kilimo chaongoza kuchangia ukuaji wa GDP Kwa mara ya kwanza
Screenshot_20250217-114131.jpg
 
Dead Magufuli had no right nor authority to stop appointment of Mulinge by Vodacom you idiot. All he did is deny her a work permit. Something that the government of Kenya could do to Tibaijuka kama tungekuwa na roho mbaya kama hizo zenu. Huna akili.
Ooh how would you do to Tibaijuka nipe mfano cause you as nation have no legal power to stop UN Director to work in their own office, unless mnataka office iwe relocated.

Tell me what power you have over UN office?
 

Ila si walisema walikua wanataka wa Djibouti ashinde.

Imekuaje wapo kutukomalia sisi ndio tumewafelisha.


Waache usenge, mijitu ipo kila siku kutunaga eti SADC hatuna kitu hamna anayeijua TZ, Tz hamna anayeijua na bado inalia lia eti tumeifelisha.

So Tanzania tungepiga kura moja wangeshinda?

Wapumbavu yaani tutumie mafanikio yetu influence ya jasho na Damu kuweka Nyang'au aliyekua anafanya biashara kipindi tunahangaika?
 
Mbona wanakataliwa kila kona wana matatizo gani hawa mbwa wa kibera
Africa wanajua ufala wao kabla na baada ya Uhuru. Kujibaraguza kwa wazungu wakati wenzao wanahangaika na liberation. Pia kura za Kenya UN hazioneshi msimamo wao bali zinapigwa according to the dictates of their masters nchi haina msimamo.
 
Africa wanajua ufala wao kabla na baada ya Uhuru. Kujibaraguza kwa wazungu wakati wenzao wanahangaika na liberation. Pia kura za Kenya UN hazioneshi msimamo wao bali zinapigwa according to the dictates of their masters nchi haina msimamo.
sio kabla hata baada mpaka sasa! WTO walizuia generic medicines kwa nchi za Africa kisa makampuni ya West yaliwadanganya kufungua pharmaceutical branches Ukunyani! Cha ajabu Novatis walifunga na wale wa Corona wamehairisha mradi! Hawa mbwa ni wabinafsi!
 

Baada ya Trump kukata funding ya HAITI mission sasa anatafuta pa kutokea anataka mission iwe incorporated into UN peace keeping arrangements so that wale karau waendelee kulipwa huko.
Anachoshibdwa kujua makubaliano ya Haiti yalikuwa between Kenya and its masters haikuhusisha Africa sasa naona viongozi wa Africa wanamzoom Ruto kwa mbaali.
 
Back
Top Bottom