COLLOH-MZII RELOADED
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 7,544
- 3,131
Yani 2017 bado mtu anaunda stand ya bus???
Weka view ya lake Victoria from the 1st picture.Mwanza Tanzania
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
sasi wenyewe tumeshangaa,2017 ndio mmepata gari moshi.Yani 2017 bado mtu anaunda stand ya bus???

Hiyo ni ya ********.
2017 mnajenga stand?????sasi wenyewe tumeshangaa,2017 ndio mmepata gari moshi.
sisi tuko na gari moshi tangu 70s na sasa tunaenda kuwa nayo ya umeme.![]()
![]()
![]()
![]()
Sasa 35 million Tanzanians lack toilets unasema za kenya
http://allafrica.com/stories/201105301997.htmlSiyo mimi rafiki ni magazetu yenu
View attachment 655612
Nyie mnayo hata moja acha wivu wa kikeee nyokooYani 2017 bado mtu anaunda stand ya bus???