Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

You're welcome for knowing so much about Kenya. Shows how much you're concerned with us. Anyway, the original name was Naivasha Self Service Store so he's still right.
Baadala ajiulize Mbona nimeita Naivasha yeye anakuja kutuonyesha ujinga wake. Hajui Naivas was initially known as Naivasha Stores.
 
Magufuli angejua upumbavu alioufanya unaleta nn kwetu sie? Nadhani asingekurupuka! Sasa waarabu ndio wanachukua bandari zetu zoote! Jamaa alikuwa mpumbavu sana na mtu wa mihemko! Hawa waarabu wakimiliki njia zako za uchumi hata siasa watakuamulia!
We nawe kuna kitu ulifanywa na wasukuma maana lolote ukilisikia unawashwa.

Njia gani za kiuchumi wakati wanasema "ACQUIRE" unaelewa hata hilo neno.

Kama mnaona aliharibu fanya mpeleke bungeni ile sheria yake ya 2017 ya Permanent Sovereignty over natural resources ili "WAWEKEZAJI WENU PENDWA" Wawe free kumiliki kila kitu na kufanya watakavyo.

Ovyo sana. Badala ya kufocus major resources kuwa chini ya serikali hata kama ni kwa uwekezaji ila usizidi mpo kupigia kila kitu kofi kisa tu hammpendi aliyezuia.

Baadae nione mnalia eti mbona vitu vinakwama ikiwa kila vyazo vya mapato mpo mnagawagawa tu.
 
Kuwa tu mkwali. Talanta stadium is not as good as Dodoma new stadium. Weka kando jealous na kubali ukweli.
Sasa unalinganisha uwanja haina hata viti na Talanta yenye viti na canopy covering the entire seating area. Yani kunyeshewa na mvua na kupigwa na jua ni ndoto Talanta
 
Sasa unalinganisha uwanja haina hata viti na Talanta yenye viti na canopy covering the entire seating area. Yani kunyeshewa na mvua na kupigwa na jua ni ndoto Talanta
Nani kakwambia Dodoma stadium haitokua na vitu we kasongo.? 🤣🤣🤣
 

Ni yeye hajatembea, there are numerous resorts on the Kenyan side of lake Victoria like this Takawiri Island. Also remember the section of the lake in Kenya is tiny compared to what is in Tanzania and Uganda.

Takawiri_Island_Resort_View-1024x576.jpg
Takawiri4.png
22c5875c58e8d2d630e19e1030fe5212.jpg
 
Hapa nilipo nachekea chooni 🤣🤣🤣🏃🏃🏃
SADC Ina nguvu kuliko EAC,and mind you wakundustan,Tanzania has more influence in SADC than any country in it.

View attachment 3235784
Tanzania tupo pande zote mbili sasa wanatuweka njia panda,kwa Congo najua itakwenda SADC. Huyu mzee kaongozana na wabunge zaidi 100 kwenda Ethiopia kwenye kampeni si ufisadi tupu na akipata itakuwaje afadhali adondoshwe tu😁😁
 
Back
Top Bottom