instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 12,544
- 19,491
Hatuna waziri hapa....shida ya foleni za Dar ni kwenye junctions tu. Wajenge overpasses kwenye junctions uone kama foleni haziishi
Hiz flyovers ziliishia wap? Siku hiz wanaongea tu bila utekelezaji... Hii ni ilani ya CCM 2020-2025.
Wamejenga ngap so far...kazi kusifia mambo yasiyo na maana.
View: https://youtu.be/f6ztH295mbc?si=-bE3DMKiZE59YjAd