Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naam bila shaka serikali yetu imegundua kuwa jirani ni mmbabaishaji ndiyo maana wamekuja haraka na Dodoma stadium ili jirani akikwana talanta ya mchina tunachukuwa mechi zake zitakazo pangwa kupigwa Naipori maake wao kila kitu ni naipori
Unaota Talanta kukwama while we are on the third floor already wakati nyinyi mmeshinda kuspchimba foundation ya Arusha 20k seater stadium for a year now. Going by the soeed mnaenda nayo it’s obvious 2027 itafikia before mmalize that stadium.
 
Hapa nilipo nachekea chooni 🤣🤣🤣🏃🏃🏃
SADC Ina nguvu kuliko EAC,and mind you wakundustan,Tanzania has more influence in SADC than any country in it.

FB_IMG_1739473497078.jpg
 
Back
Top Bottom