ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,561
- 90,008
Yote hayo nayajua yaani favorite wa mama nisijue tena? Orodha niliyonayi ni zaidi ya hiyo miradi aliyotaja.eg -Ukarabati wa uwanja wa Ndege Tabora including New passenger building,NHC Commercial Complex nkChoiceVariable unaskia maneno?
Mama anatafuna mifupa iliyowashinda fisi.Hapa Tabora Kwa sasa Kuna miradi ya ujenzi wa soko jipya la kisasa,stendi kubwa ya mabasi,barabra za lami almost kila kata na Mitaa,Ujenzi wa stesheni kubwa ya SGR kuliko zote Africa mashariki,hiyo miradi ikikamilika itatangazwa jiji.
Huku Tabora tuna Tabora united,aka nyuki wa Tabora😂😂walitupiga Yanga 3😂😂 Sina hamu nao wajinga wale🤣Jiji la Tabora, Yanga wakisikia neno Tabora wanafyata mkia.
Labda majuu ya Tandale. Mshamba anakaa hivi anajua majuu ni nini?Wewe umeenda mji gani ****** wa mbwa wewe.? Sahii na hivyo nishakanyaga majuu. Mbweha kama wewe huna cha kutamba mbele yangu. Maku wewe. 😆
The look and the outfits of this young boy is far better than you are. I dare you to post your pictures.Labda majuu ya Tandale. Mshamba anakaa hivi anajua majuu ni nini?
View attachment 3235061View attachment 3235063
nani kasema natoka Kagera baba? Mimi Kigoma mzee! ila Tabora yale makutano ya reli yanauamsha mji ule na pia kuna ujenzi wa chuo cha reli kule!Yote hayo nayajua yaani favorite wa mama nisijue tena? Orodha niliyonayi ni zaidi ya hiyo miradi aliyotaja.eg -Ukarabati wa uwanja wa Ndege Tabora including New passenger building,NHC Commercial Complex nk
View: https://www.instagram.com/p/DF16ydYMwPm/?igsh=bTNlMDk5dWJlaTQy
Next Cities ni Tabora & Morogoro,Kahama ingekuwa na miundombinu mizuri ingekuwa hivyo.
Tabora has to work hard on Municipal Collections,Iko very low to required City ceiling.
Mwisho nina Hadi orodha ya miradi inayotekelezwa na Samia kwenu Kagera Mkoa maskini Tanzania kuwasaidia.
Mkimbizi 😁😁😁😁😁nani kasema natoka Kagera baba? Mimi Kigoma mzee! ila Tabora yale makutano ya reli yanauamsha mji ule na pia kuna ujenzi wa chuo cha reli kule!
Dah,ww jamaa ni chawa pro max 🤣🤣🤣🙌🙌Mkimbizi 😁😁😁😁😁
By the way Mshukuruni JK & Samia huko Kigoma vinginevyo.
Kigoma ni Kati ya Mikoa michache yenye miradi Mingi kweli kweli Kwa awamu hii ya 6,kura zote Kwa mama.👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DF5Q0ESICFL/?igsh=ZW4zNjZ5M2syNjR5
Tena sio 100,000 spectators?😂😂😂uwanja wa dodoma utakua na uwezo wa kuchukua watazamaji 32,000
View: https://x.com/msigwagerson/status/1889281863161958681?s=46
What happened to your 100,000 seater stadium in Dodoma?😂😂
Wamepiga chini.What happened to your 100,000 seater stadium in Dodoma?😂😂
Extra ordinary kabisaaDah,ww jamaa ni chawa pro max 🤣🤣🤣🙌🙌
What happened to the 100,000 seater stadium that you kept on reminding us here?Hii hapa renda ya Dodoma stadium 👇🏾View attachment 3234552View attachment 3234553View attachment 3234554View attachment 3234555wale wazee wa sijui parking ya mkapa stadium ni ndogo, haya hii hapa funga kazi. Hatucheki na kima sisi.
Mbona unatukana The best 007 ?viti vya watchman?
Mbona hii design inafana na ya Kwale Stdium?😂😂😂