In Tanzania i was surprised that everyone accepted my Kenya shilling notes.
Tangu enzi ya Kibaki sio?hio sheheena marina haijawah kuisha ina over 15 good years jengo liko pale pale tu, nilipata fununu kua limejengwa chini ya kiwango linatakiwa kuvunjwa 😂😂😂😂😂
Yani badala tu ya kujibu kuwa hakuna kundi spesheli yoyote ya polisi na polisi wenu hawajawahi kusikia kuhusu mashindano ya UAE SWAT challenge 😂Badala uhoji kwanini hao police wenu wanashindwa kupambana na bandits na hali ya usalama nchini kwenu uko hapa kuulizia polisi wa Tanzania.
Nimeona pia kuna sehemu contractors wanaojenga hapo ukunyani wanavaa bulletproof vests badala ya reflectors.😂😂😂
View: https://x.com/ohezby/status/1888527819019288594?s=46
Kweli Africa we have more mileage to catch up … ati minister mzima anaenda kufungua KFC ?… kwani hana Kazi important ya kufanya ? I truly hope my American friends don’t see this … shameful!..😞
So much for presenting a random guy’s x post as credible evidence 😂That is at least $ 100,000 of investment!
Hebu compare na hii maneno 👇🏿
View: https://x.com/Gavanor01/status/1882927929459700103
Anaeonekana kwenye picha sio Raisi wenu.? Na je hizo hapo juu ya gari sio Nguzo nne za umeme.? Wewe mbona ni zezeta.? 🤣🤣🤣So much for presenting a random guy’s x post as credible evidence 😂
45,000k pia ingekuwa sawa ila ingekuwa extravagant pia, sili hizi na utandawazi watu wa kwenda uwanjani wanaoingia, angalia trend ya watumiaji viwanja baada ya olympic Athens mwaka 2000, viwanja vikubwa vimebaki mzigo tu kwa nchi, ndo maana Qatar akavunja viwanja vingi baada ya kombe la dunia.kama kweli tunania dodoma ndio capital city basi bado haitoshi atleast tungevuta mpaka 45,000 kwa kuanzia, dodoma inakuja kwa kasi sana imagine serekali yote ihamie huko, balozi zote zihamie huko, mashirika ya kiserekali na yasio ya kiserekali yahamie huko etc na ukumbuke wote wanakwenda na familia zao unafkiri patakuaje? bado wafanya biashara, bado wasafiri bado wakazi ambao lazma population yao itakwenda juu sana, hatupaswi kufkiria kesho tunapaswa kufikiria 20yrs to come ili tusiingie hasara za kuja kujenga uwanja mwengine tena
Usijali, soon utaanza kulia. Ngoja ufike muda ambao utatoa sabubu ya kusema hiyo pesa umetoa wapi kabla ya kichange. Utakuja humu kulia lia. Sheria inapikwa....soon tuIn Tanzania i was surprised that everyone accepted my Kenya shilling notes.
But that’s for a whole electrification project … it makes sense … Lakini KFC maneno Bwana …jibu hiyo kwanza..sometimes it’s ok to accept when something is ridiculous … and move on …don’t dwell on pettiness..Anaeonekana kwenye picha sio Raisi wenu.? Na je hizo hapo juu ya gari sio Nguzo nne za umeme.? Wewe mbona ni zezeta.? 🤣🤣🤣
Sema wapo slow sana hako kamradi tangu mwakajuzi,kitu kinachonikera sana,ukipita iyo mitaa utakuta magari ya serikali yamepaki kwenye pavementsVi dustbin vinapendeza kiukweli, saivi posta imenyooka sana very clean, pavements zimenyooka kila kona ya mtaa+ greenery, miti imezunguka barabara, No city in EA can relate. saivi itabidi tuagize vumbi kutoka Naipori. 🤣🤣🤣.
Mombasa inatoa Dar kijasho chepesiNyie nyang'au kweli mmeishiwa😁
Au wamezungushia minyororo matokeo yake mnapita barabaraniSema wapo slow sana hako kamradi tangu mwakajuzi,kitu kinachonikera sana,ukipita iyo mitaa utakuta magari ya serikali yamepaki kwenye pavements
Unachekesha.Mombasa inatoa Dar kijasho chepesi
Sio Nairobi hiyo mkuu. Sisi tumestaaribika.Wahuni wasije kuviiba tuu hivyo vi dustbin
Kwa sasa 32k unatosha kabisa kwa Dodoma, kumbuka hata Mkapa wenyewe kujaa ni shuhuri, ukizingatia maintenance ya uwanja basi 32k unatosha na ni mkubwa sn, huko mbeleni kukiwa na uhitaji tutauongeza. Tusijenge maviwanja alafu baadae yageuke kuwa ghost, mafunzo tumeshapata kutoka kwa wenzetu nchi mbalimbali za Africa, hata SA wenyewe wamefeli kutunza viwanja vyao.kama kweli tunania dodoma ndio capital city basi bado haitoshi atleast tungevuta mpaka 45,000 kwa kuanzia, dodoma inakuja kwa kasi sana imagine serekali yote ihamie huko, balozi zote zihamie huko, mashirika ya kiserekali na yasio ya kiserekali yahamie huko etc na ukumbuke wote wanakwenda na familia zao unafkiri patakuaje? bado wafanya biashara, bado wasafiri bado wakazi ambao lazma population yao itakwenda juu sana, hatupaswi kufkiria kesho tunapaswa kufikiria 20yrs to come ili tusiingie hasara za kuja kujenga uwanja mwengine tena
Haina haja kwa sasa.mbona ni mdogo mkuu mi nlijua utakuwa mkubwa kuliko wa hapo LUPASO
Kila siku uwanja upo vilevile, hamtoandaa CHAN wala Afcon.