Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kufata nini huko lunga lunga mpunga wewe.? 🤣🤣🤣 Yani nije lunga lunga kushangaa mashoga au.?
To make it simple, hujawai toka Tanzania. Hata Tanzania yenyewe hujatembea so mambo ya kutembea usishinde ukiyaongelea maanake ni beyond your paygrade. Hata passport pekee huna.
 
We maku unaona passport ni jambo la ajabu eeh.? Kama nimeweza kusafiri karibu mikoa yote ya Tanzania, thousands km since nikiwa chalii mdogo to date, Ndio nikose uwezo wa kuja mombasa Penye nauli ni 15k Tz money from my hometown.? 🤣🤣🤣

Pasport kama unaona ajabu haya yangu 👇🏾
IMG_3961.jpeg

Jitu zima zombie wew 🤣🤣🤣
 
We maku unaona passport ni jambo la ajabu eeh.? Kama nimeweza kusafiri karibu mikoa yote ya Tanzania, thousands km since nikiwa chalii mdogo to date, Ndio nikose uwezo wa kuja mombasa Penye nauli ni 15k Tz money from my hometown.? 🤣🤣🤣

Pasport kama unaona ajabu haya yangu 👇🏾View attachment 3225148

Jitu zima zombie wew 🤣🤣🤣
Wapi stamps au unatuonyesha cover tufanyie nini? 🤣 🤣 🤣 🤣
 
We maku unaona passport ni jambo la ajabu eeh.? Kama nimeweza kusafiri karibu mikoa yote ya Tanzania, thousands km since nikiwa chalii mdogo to date, Ndio nikose uwezo wa kuja mombasa Penye nauli ni 15k Tz money from my hometown.? 🤣🤣🤣

Pasport kama unaona ajabu haya yangu 👇🏾View attachment 3225148

Jitu zima zombie wew 🤣🤣🤣
Kundustan mtu akimiliki pasipoti tu anawaza kusafisha vyoo
 
Back
Top Bottom