Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwaiyo watalii wanaopiga picha uchi huko Zanzibar kwaiyo napo wazuie kupiga picha ๐Ÿค”

Kuna ule mchezo wa kuruka kutoka juu ya ukuta na kuingia baharuni. Vijana wa Zanzibar wanafanya wakiwa na mabango au picha... Kuna kizaa zaa kilitokea pale na hadi wakasitisha kwa muda. So wako strict sana.

Kwenye Tanzanite bridge kuna mdau kaelezea vizuri. Kwamba katazo linawahusu wale wanao funga njia na kuchukua video na kusababisha foleni. Kwamba kama ni kuomba kibali wanaweza kupangiwa muda ambao hauna foleni sana.
 
tuendelee kusifia kaka ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ