ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,479
- 89,895
Uzembe ndio kuwa powerful? Mumejaza funza kichwaniThat should tell you how powerful Kenya is. Na hiyo August pia ikifika before tumalize Kasarani Stadium the tournament will be postponed again.
Ingekuwa ni Tanzania that is not ready ungedhani Kama the tournament ingechezwa tu bila kuwangoja.
Then go ahead and try to host that CHAN without Kenya tuone Kama itafanyika.Uzembe ndio kuwa powerful? Mumejaza funza kichwani
Mkizingua hiyo July mtafukuzwa wanapewa Rwanda tuna hostThen go ahead and try to host that CHAN without Kenya tuone Kama itafanyika.
Sasa mtu atafungaje barabara bila kuwa na kibali.Nielewavyo Mimi juu ya hili katazo la kupiga picha na video ni kwa wale wanaokuja kufanya video shooting kama harusi,music nk na picha za aina hizo ambazo zinapelekea kusababisha jam barabarani.
Ila kwa picha za kawaida mtu yeyote anaweza kupiga na kusepa bila tatizo lolote.
But, I stand to be corrected.
Kwani hujui kuna kiwanja cha Mkapa toka 2007 chenye 60k?Kati ya Stadium ya 60k seaters and 20k seaters gani ni kituko?
Mbona hawakupewa ya this month?Mkizingua hiyo July mtafukuzwa wanapewa Rwanda tuna host
Yes, kiwanja cha Mchina. 30yrs after Kasarani.Kwani hujui kuna kiwanja cha Mkapa toka 2007 chenye 60k?
Eti eeeehhhhhhView attachment 3222009
This is an aerial view of Kariobangi. Show me those mabati housesKwanini unaficha full suti za mapati?
Kwaiyo kariobang yote Ipo kwenye hiyo photo 😂😂😂😂😂This is an aerial view of Kariobangi. Show me those mabati housesView attachment 3222357
Kipofu kaona mwezi. Ha ha ha wewe kweli ni nyang'au😎Yes, kiwanja cha Mchina. 30yrs after Kasarani.
Jeshi lenu dhaifu linauliwa kule Congo, una lipi la kusema?Kipofu kaona mwezi. Ha ha ha wewe kweli ni nyang'au😎
Kwaiyo watalii wanaopiga picha uchi huko Zanzibar kwaiyo napo wazuie kupiga picha 🤔Kuna mpuuzi alipiga picha za nusu utupu hapo nadhani ndio ikasababisha kuwekwa katazo hilo.
Kusiwe na urasimu tu kupata hicho kibali.