Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Record hii wakenya Labda wajumlishe statistics zao za miaka miwili. 🤣🤣
Sawa na recovery growth rate ya 43% 👇👇
 
Wametoa from GOK, Jeshi lenu kinarambwa kule DRC na unataka kuongelea Jeshi imara that has defeated the 4th strongest terrorist group in the world.
Jeshi lenu lina hata mradi wa kuku mpaka lipate mapesa yote hayo? Kama walitoa GOK ambayo na yenyewe hata mishahara haina kwanini wasijiandike wao moja kwa moja?
 
Always on that submission or subservience to South Africa due to its military superiority… bruh, nyinyi hamna cha kuonyesha mkaonyesha za wengine 😅
Tulitimua wanyarwanda 2013 mbona aliufyata? Na mbona hatushambulii huko Goma? Hakafu fahamu wakuu wa jeshi wa SANDF walikuwa trained Morogoro na Nachingwea kama Kagame na Museveni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…