ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,940
- 89,153
Weka maelezo yanayojitosheleza.
Msaada kutoka Kwa mjomba wako au siyo? ππ
ndio inatoka kwa mjomba shabani ππMsaada kutoka Kwa mjomba wako au siyo? ππ
majengo ya seven 11 kwani hujayaona ππWeka maelezo yanayojitosheleza.
Samia Housing Scheme Kawe ππππ
View: https://www.instagram.com/p/DFcpdUzMVk6/?igsh=MWk3bG5meTI5ZGQydw==
Inakurupukaga sana.ππndio inatoka kwa mjomba shabani ππ
View: https://x.com/japanamb_tz/status/1846938209843843528?s=46
Kazi inaendelea π πmajengo ya seven 11 kwani hujayaona ππ
View attachment 3218810
narudia kukwambia tena mara nyingi miradi ya JICA hua ni msaada kutoka serekali ya japan na sio tanzania ni karibu africa nzimaInakurupukaga sana.ππ
Hii ya Dom.ni grant ila Ile ya Kilimo ni Mkopo wa.masharti nafuu
mradi ulianza kwa nani huu?? πππ
Kwa JK, Mwendazake akauua na Sasa Samia ameufufua.mradi ulianza kwa nani huu?? πππ
au tuite samia seven 11 towers??
It is being constructed unafikiri Samia housing scheme iko wapi kwa akili yako?
Weka maelezo yanayojitosheleza.
Samia Housing Scheme Kawe ππππ
View: https://www.instagram.com/p/DFcpdUzMVk6/?igsh=MWk3bG5meTI5ZGQydw==
Demolition itafanyika Hadi pafanane na zile renders
Maybe South Africa together with other SADC countries without Tanzania. Nyinyi mlishalemewa nyamazeni, mnashindwaje na kundi la kubeba tu mapanga? Jeshi lenu ni dhaifu sana.Soon atajua mavi eac na SADC ipi itakayomtoa nyoka pangoni
Unaumia ukiwa wapi?Hatumii hata mtungi wenu wa chang'aa mwanzo mlisema ni wa GOK lakini Leo nauli mnamlipa mchina tena Kwa miaka mia na kwenye na barabara nazo hivyo hivyo
Habari yako, Naona bado unaumia. Mbona sioni hapa Kama imeandikwa kwamba hao ni wasimamizi?ππππwizara ya ulinzi ni wasimamizi tu wa mradi