Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,039
- 107,547
sasa M23 wanashindwa nn kuenda kuwakamata hao wanajeshi 48 wa tanzania? Hii propaganda haisaidiii!Yes he is a credible journalist, meanwhile remind me who are you?
Wewe ni maandazi 🤣🤣🤣Sawa Sokwe cry harder.
Munafinywa 🤣 🤣 🤣 Mulisaliti EAC, mfinywe kabisa.sasa M23 wanashindwa nn kuenda kuwakamata? Hii propaganda haisaidiii!
Unajua jina la Buyobe asili yake? Sisi tujiunge na jeshi la kifalamanga EARF!Munafinywa 🤣 🤣 🤣 Mulisaliti EAC, mfinywe kabisa.
View: https://x.com/fbuyobe/status/1883897804445401325
Hio jeshi yenu ya SADC walipigwa makombora hadi waka surrender. 🤣 🤣 🤣 Malizaaaaaaa mnyongeeeeee.Unajua jina la Buyobe asili yake? Sisi tujiunge na jeshi la kifalamanga EARF!
Sisi tupo huku baada ya ku-train Uganda, Rwanda na Mozambique
View: https://x.com/SADC_News/status/1762133318458372442
colateral damage! Hiyo ni vita babu watu hawajaenda kula mtura kule!Hio jeshi yenu ya SADC walipigwa makombora hadi waka surrender. 🤣 🤣 🤣 Malizaaaaaaa mnyongeeeeee.
View: https://x.com/AfricanHub_/status/1883969644723310919
Si walisema kuna mpango wa metro?pia kwa baadae waeke train pia iweze kufika hapo itakua 👍
Shugulika na vya kwenu we pimbi.Man eating another man society is manifesting itself in the US!
View: https://x.com/Rydx_017/status/1884180986566697178
View: https://x.com/Rydx_017/status/1884181060726186196
View: https://x.com/Rydx_017/status/1884181209590423995
Yaani retweeted ya mkenya from Rwanda Gazette?Wanajeshi wenu wanalia kama watoto huko Congo. 🤣🤣
View: https://x.com/cobbo3/status/1883983887178887240
Ndio hao wajinga wanaokota okata kila kitu kupakaza wengine matope
Naona we jamaa akili hazimo? Au nilifanya kosa kusambaza link za huu uzi TikTok kuleta wajinga wengi humu?Munafinywa 🤣 🤣 🤣 Mulisaliti EAC, mfinywe kabisa.
View: https://x.com/fbuyobe/status/1883897804445401325
Wazee wa high IQ kumbe Mazuzu hata hajui anapost nini.colateral damage! Hiyo ni vita babu watu hawajaenda kula mtura kule!
View: https://x.com/SANDF_ZA/status/1884165858760839473
View: https://x.com/SANDF_ZA/status/1884171441719164929