Kuto kujua vitu kusikufanye ufikie conclusion mzee. Hawa hapa watanzania wanao fanya kazi kampuni kubwa duniani huyu anafanya kazi apple . 👇🏾Kenyans in USA.
Wachawi bado wanauza dawa za kulevya huko.
View: https://x.com/LarryMadowo/status/1883919243084779933
Unataka kulinganisha an employee na someone owning a factory? When will you stop being stupid wewe baboon?Kuto kujua vitu kusikufanye ufikie conclusion mzee. Hawa hapa watanzania wanao fanya kazi kampuni kubwa duniani huyu anafanya kazi apple . 👇🏾
View: https://youtu.be/yIPWOqT04gk?si=hr2eHhJiw_YA4ICD. . Huyu anafanyakazi NASA 👇🏾
View: https://youtu.be/QyJcPnDgw-I?si=FWVPjDSxsLm3i7Nz.
hili ni janga la africa nzima😂😂😂
Heb karibu kujijibu.Kenyans in USA.
Wachawi bado wanauza dawa za kulevya huko.
View: https://x.com/LarryMadowo/status/1883919243084779933
Unataka kulinganisha an employee na someone owning a factory? When will you stop being stupid wewe baboon?
Ni wapi kwa hiyo statement yangu umeona nikisema ati huyo ni employee? Umesema hata hiyo tweet kweli? Ama wewe unajibu tu because you have data bundles and a smart phone?Heb karibu kujijibu.
mhhhhh haya mm nipo😂😂😂Haya kundi letu hilo
View attachment 3215825
Hilo ni Ndondocha!Heb karibu kujijibu.
Siongei na mishoga mm, wewe unatoka Mombasa, huo mji na wana Dar es salaam ni chui na paka, tunawachukulia nyie wote ni maandazi.Watu wakiongea vitu vya kitaaluma kaa kando Watchman. Ukubwa wa Nchi unahusika vipi na wewe kupigwa mpini na mume wako, kwahivyo kabla hujapigwa mpini kwanza unaangalia ukubwa wa Tanzakundu 😀???
Hawa jeiwii waache ufala wa kijamaa, waende Congo kwa lengo la kupiga pesa, waachane na mambo ya ukombozi, tunaongea kila siku lkn hawasikii, Magufuli alikuwa mbepari akija kwako kukusaidia ujue kuna kitu unampa, twende na huo mpango, kama tunaenda Congo kuwaondoa M23 lkn wajue kwamba fidia yake watailipa, siku hz hakuna cha bure, sifa za kijinga tunawaachia Wakenya, wanaenda Haiti alafu pesa inalipa GOK.Nyerere aliwahi kuelezea huo mgogoro na chanzo chake, 👇🏾
View: https://youtu.be/fu83XspMZA4?si=XJ6P9t0jiXGXarPB.
My take: sioni sababu za kupeleka majeshi yetu eti ili kulinda amani huko, vinginevyo tuamue kuwazingua wazi Rwandese au westerns, that’s the true salivation for this matter.
Hujui kinachoendelea JW wanaenda kule kwa ajili ya interests za TZ! Kama Kagame ata-annex eastern DRC basi hata SGR haitafika Kindu!Hawa jeiwii waache ufala wa kijamaa, waende Congo kwa lengo la kupiga pesa, waachane na mambo ya ukombozi, tunaongea kila siku lkn hawasikii, Magufuli alikuwa mbepari akija kwako kukusaidia ujue kuna kitu unampa, twende na huo mpango, kama tunaenda Congo kuwaondoa M23 lkn wajue kwamba fidia yake watailipa, siku hz hakuna cha bure, sifa za kijinga tunawaachia Wakenya, wanaenda Haiti alafu pesa inalipa GOK.
Huu ndiyo ujinga unaonishangaza sn, kama tushajua tatizo ni kagame, kwnn asipigwe? Yn East Africa nzima inashindwa kupiga kanchi kadogo kama Rwanda? Jeshi lao lote halifiki hata robo ya JW alafu tunajiita Godfather of EA? Tunapaswa kuipiga Rwanda, hakuna haja ya kupambana na wahuni wa M23 wkt ukweli ni kwamba hao ni askari wa Rwanda. Haka kanchi ni parasite, hakana rasilimali lkn kanategemea Mali za nchi nyingine, tukapige alafu tukatoe EAC ili kaendelee kuwa ombaomba kama Kenya.Hujui kinachoendelea JW wanaenda kule kwa ajili ya interests za TZ! Kama Kagame ata-annex eastern DRC basi hata SGR haitafika Kindu!