Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa lugha rahisi huu uwanja ni wa huyo mwekezaji mpaka hela yake irudi. Hapo kwenye hela kurudi ndio kuna sarakasi mnaweza kujikita hela 'hairudi' miaka 50.

Fact!

Uwanja utakuwa chini ya miliki ya Mchina mpaka hela Yote ya ujenzi irudi. Sasa kwa hawa kenge walivyo na muamuko mdogo kwenye mpira wa miguu ndio hapo mchina ataushikilia hata kwa 50yrs.

Ikivuka labda kama wameweka collateral nyingine iende.
 
Unaumia ukiwa wapi?

Hela kurudi na sio watu wa kujaa viwanjani kuangalia mpira! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
alaf chizi anakwambia talanta sio PPPπŸ˜‚
 
Kati yako na Mchina anayejenga nani mjinga?

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…