Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tihahahhaaaaa.... Mwanza gani... Mwanza nayoijua? ??? Pwahahahaa. Mwanza hata kwa Eldoret haioni chochote..... Mawe nyingi kuliko majengo....


afadhali walete tu arusha Ile wakenya wamesaidia sana kuifanya kuwa town
 
Na naweza fika hata:-

No 38 - Kisii





Ama No 86 - Ongata



Au hata nitoke top 100 nifike No 127- Manda

 
hio population n ya 2009,sasa hivi msa ina 1.4m.iyo population ya mwanza ni ya mkoa wala sio ya jiji lenyewe
Wacha nicheke...[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] hizo ni speech zenye pumba ....sana......


Yaani umeshindwa hata kutoa maelezo sahihi...eti population ya mwanza ni ya mkoa wala siyo jiji....

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
mm nafahamu taxi gari ziko airport pekee lakini city center hakuna zaidi ya baiskeli bro kisumu nimekaa sana na nishawah kupandanda taxi baiskeli kutoka shauri moyo kwenda octopus just 15bob😀😀😀

na ndio ilikua mara yangu ya kwanza kuona mji kuna taxi baiskeli
 



ati jiji...
lol..

.jiji la mawe tu ...
 


Kwanza that Kisumu road from airport to town is very awesome....hata Mombasa road haifikii bana
 
Acha masihara hii ni airport ama supermarket...
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]

usinifanye nilete picha za Arusha, Mwanza, Kigoma airport ndugu😀😀😀 wacha tu niwahurumie kwa sasa
 
Dahh....aliyepika huyo samaki hakika hafai kabisa kuwa mpishi ni bora awe city cleaner.....maana sikwakumuunguza kiasi hicho [emoji12] [emoji12] [emoji12]
samaki fry inafaa ipikweje basi? inaonekana wwe mtaalam..
 
usinifanye nilete picha za Arusha, Mwanza, Kigoma airport ndugu😀😀😀 wacha tu niwahurumie kwa sasa
We ziweke tu.....mbona bomba tu.....Ha haa ...mtanyamaza tu.....hamjui vinavyoendelea.......

Kitu chochote huwa kinatengenezwa kwa hatua ili kiweze kuwa na faida
 

Jamaa funny sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…