Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hio population n ya 2009,sasa hivi msa ina 1.4m.iyo population ya mwanza ni ya mkoa wala sio ya jiji lenyewe

Sawa lakini mombasa kwa mwanza bado sana. Population kwenye maendeleo haijalishi. Ni factor moja kati ya nyingi kwenye maendeleo.
 
Sawa lakini mombasa kwa mwanza bado sana. Population kwenye maendeleo haijalishi. Ni factor moja kati ya nyingi kwenye maendeleo.
hebu leta picha ndugu sio kuzungumza tu...hata mimi naweza sema nairobi is ahead of New York ila nisipo prove kwa picha n upuuzi mtupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…