Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,994
airport zipi bro?😀😀😀 hizi hapa?kaanzisha ligi ya airport kaona hali ngumu kakimbia😀😀😀😀😀😀 yani anahangaika sana
airport zipi bro?😀😀😀 hizi hapa?kaanzisha ligi ya airport kaona hali ngumu kakimbia😀😀😀😀😀😀 yani anahangaika sana
Pwahahahaha sawa leta za Unguja basi bro😀😀Mwanza kubwa sana kwa Mombasa. Twende na Unguja uone mambo wewe.
wajua mombasa n mara mbili ya mwanza interms of population.ata una aibu kusema msa n kadogo
kama ni kunipiga na hizi poleni bro...sio magofu hayaTunamcheki tukianza kumpiga mawe hapa anakimbia na harudi tena.
bro now sina nafas ila kesho asbh nitaanza nawewe kwenye beach hotels nikuoneshe giant of beach hotels in east africa😀😀😀😀Mwanza imekosa?😀😀😀
hasira hizi😀😀😀Kretos vipi?Population haijalishi wakati wananchi wanaishi kwenye nyumba zilizochakaa kama magofu. Mombasa nusu ya nyumba ni zile za enzi za ukoloni.
pwahahahaha sawa bro mi nakukubali sana...hunaga hasira hasira za kipumbavu...kesho basibro now sina nafas ila kesho asbh nitaanza nawewe kwenye beach hotels nikuoneshe giant of beach hotels in east africa😀😀😀😀
hasira hizi😀😀😀Kretos vipi?
amekabwa anatafuta pa kutorokeahasira hizi😀😀😀Kretos vipi?
hapana ni hizi hapa garisa airport kenyaairport zipi bro?😀😀😀 hizi hapa?
![]()
![]()
![]()
wajua mombasa n mara mbili ya mwanza interms of population.ata una aibu kusema msa n kadogo
hio likoni utasema kondoo ndio wanavushwaMombasa
![]()
![]()
![]()
![]()
dont forget city taxi in kisumuNitawapa vidonge vya city No 3 Kisumu
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
nice oneNitawapa vidonge vya city No 3 Kisumu
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
mwanza hio brothis is how tanzanians are avoiding story za Mwanza
![]()
![]()