Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

na azam tv imewatandika kweli kweli mm nina czn kisumu imagine kisumu na ana azam tv πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ na aniambia inafanya vzr sana azam na watu wanaipenda sana
Underline the word cousin, so you expected mwenye anajiita mtanzania akose decoder ya mwarabu anaishi Tanzania?
 
Underline the word cousin, so you expected mwenye anajiita mtanzania akose decoder ya mwarabu anaishi Tanzania?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

unaumia azam tv kufanya vzr kenya na anasifika kweli kweli kila mkenya anafurahi na anaipenda azam tv
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

unaumia azam tv kufanya vzr kenya na anasifika kweli kweli kila mkenya anafurahi na anaipenda azam tv
Ati kufanya vizuri Kenya? With a total decoder sales of less than 100? Ingekuwa kila Mkenya anapenda Azam their fb page haingekuwa na like tatu na zero comments in the posts they make there.
 
Mradi utaisha kwani shida Iko wapi? Deadline ni 2030.

Lazima kazi ianze kwingine na sio lazima iwe funded na Serikali directly Kuna PPP.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…