Kwamba Wakenya zaidi ya nusu wanaishi Kibera and the likes? Hii list ni biased,itakuwa katengeneza Mtanzania maanake Tanzania haipo na Dar nzima tunaambiwa ni slum!
Tukiwaambia no slums in Tanzania wanaleta unplanned settlement, kitu wasichojua au huenda wanajua ila wanajifanya wehu ni kwamba, ni rahisi kumaliza unplanned settlement kama ambavyo tumekwishaanza but ni ngumu kumaliza slums cz slums ni umaskini uliopitiliza.
Huwa tunawaambia over 71% ya wanaoishi Nairobi ni slum dwellers na map huwa inawekwa hapa, there are more than 200 slums in Nairobi alone wanabisha, na hiyo article nafikiri ni mda mrefu kdg, mana kwa sasa inawezekana kuna zaidi ya slumish areas 300 pale Nairobi, siku hizi naambiwa slum dwellers wameamua kwenda Karen kabisa yn hawataki ujinga π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Kwamba Wakenya zaidi ya nusu wanaishi Kibera and the likes? Hii list ni biased,itakuwa katengeneza Mtanzania maanake Tanzania haipo na Dar nzima tunaambiwa ni slum!
unaumia sana navoanika ufala wenuπBreaking News from Yemen Media. π€£π€£
Nicxie akiiona hii taarifa anaweza akalia mana ma slums yanamkera kiasi kwamba anatamani aamke akute yameondoka yote but no way bro π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ππView attachment 3210959