REAL Comrade Kipepe
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 3,668
- 11,670
Nilazima wajichanganye kwenye hayo makempu ili at least wapate chakula. Yaani Mikenya inakwenda kwenye misiba kwenda kula na kulalama eti wamewekewa chakula or nyama kidogo!Maisha huko ni magumu balaa yani hadi raia wa kawaida wanapenya kwenye kambi za wakimbizi ili kupata maisha safi (kimsingi ni maisha chafu ya kambini kwa wakimbizi) 😂😂😂 life in Kenya is very hard.
I thought mko na land kubwa sana tzJamaa hata kabla hawajamilizana na zile nyumba za bati nyekundu kule Ilazo na iyumbu, huu hapa mtaa wenye nyumba za bati za kijani ihumwa 👇🏾.
View: https://www.instagram.com/reel/DFHdMN1IfR9/?igsh=dTBnejM1Z3NseTg0. Kuna ule mtaa wa bati za Dark blue, sijawahi kuuona kwa videos ukiwa covered.
I see kwa kuflash Ubongo mko poa,Ghetto unarefer stadium ama unasema nini? Why don’t you get out of your country’s lingo when addressing an international audience, is it that hard?
You can watch the video as you practice
View: https://youtu.be/NtKbCXuUMrQ?si=G0DZNvT9EkI__My7
Ooh chuchunge una uhakika sina bando?Hana “bando”
Mpaka pesa za polisi wao haiti hawalipi imagine?Mishahara ipi mnalipa wakati kila siku watu wanaandamana miezi sita mtu hajalipwa mshahara.
Deport shida ipo wapi ni toka 2000s mna kelele hiyo.Ombaomba waliotapakaa Kenya nzima ni watanzania. That one has been documented over and over again and evidence has been posted on this thread a million times. Sema tu unajifariji na kujitoa ufahamu
Peleka kimbelembele kibera!I thought mko na land kubwa sana tz
How comes mnauziwa maplot 30 by 60!!!!
Hiii ni upuzi kwa nchi kubwa Ivo.
Ilifaa kuwa 100 by 200.
Deport shida ipo wapi?Watch this BBC documentary on how your beggars have invaded our cities and towns
View: https://youtu.be/sz8ZyCmV0N8?si=iRGY5099hLW92iI_
******* sana na anakwambia ni Documented 😂😂😂.Waulize tu, wabunge wao si walianzisha operation ya kufukuza beggars? Iliishia wapi? Je, zaidi ya 30% ya wakenya waliojoandikisha kule kakuma refugees camp ni watanzania? Hawa watu ni mazombie kweli kweli.
Kila siku roli likianguka wapo wanaokota vitu, kuandamana maisha magumu, Ruto kampeni aliwagawia Chapati, Omondi aliandamana Unga, waliwekewa Ruzuku ya unga imagine na bado wanakaza fuvu eti wao si masikini.Maisha huko ni magumu balaa yani hadi raia wa kawaida wanapenya kwenye kambi za wakimbizi ili kupata maisha safi (kimsingi ni maisha chafu ya kambini kwa wakimbizi) 😂😂😂 life in Kenya is very hard.
😂😂😂😂😂 Kwani serikali haina pesa?
Unataka mtu wa kawaida anunue likiwanja likubwa ili apande mboga mboga au.? In the middle of the city.?I thought mko na land kubwa sana tz
How comes mnauziwa maplot 30 by 60!!!!
Hiii ni upuzi kwa nchi kubwa Ivo.
Ilifaa kuwa 100 by 200.
Utaingiaje humu kila saa na unafanya kazi ya mjengo which needs your full attention and time? Endelea kubeba mawe pole pole, ukichoka na hiyo uchote mchanga uwekelee kwa lorry.Ooh chuchunge una uhakika sina bando?
Kisa siingii humu kila siku kama jobless nyie?
Hapo sijaona shida yoyoteAm glad Trump is your new hero…..so hereby is breaking news from his favorite newspaper ( New Times rival.. Trump hates New York Times)….so are you gonna deny this?…btw the battle btn NY post vs NY Times ni kama Simba na Yanga …lol
View attachment 3210258
Kundudweller umepata kazi?
Muulize Nairobi nzima viwanja ni low density?Unataka mtu wa kawaida anunue likiwanja likubwa ili apande mboga mboga au.? In the middle of the city.?
Viwanja vikubwa wanauziwa watu wanaoweza kuwekeza au wale wenye pesa mingi ili wajenge wawezavyo wao. Ambapo indeed hizo erea za kuuzwa viwanja vikubwa zipo in Dodoma, for instance google Njedengwa investment erea.
Mimi kwa kawaida yangu mwanaume mwenyewe tabia za kufuatilia udaku news za celebrities huwa namuona kama shoga na kwavile Mimi sio mmoja wao hua najiepusha. Sikua na expectations kubwa kwako lakini hatahivyo nimekudharau sanaDiamond platnumz kaongeza Mercedes Benz mbili mpya kwenye convoy yake. Sahii anakua Cadillac Escalade 2, Rolls Royce 1, Bentley 1, na Mercedes Benz 2. Kwahiyo anakua na jumla ya gari 6 za mpunga mrefu👇🏾
View: https://www.instagram.com/reel/DFICuRYNfw1/?igsh=ems3MHIxaDQ4MXh5.. Apo achana na V8 2, Prado TX 1 na BMW Ambazo zinafanya mchizi awe na mikwaju ya mana 10.