Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,804
- 41,709
Kuna kipi cha maana kwenye video.? πππ miti mingi na mapori.?Ame insist na kuleta picha amabazo hata hajui zilipigwa lini lakini latest video ya 3 hours ago hataki ju anajua
Masaki hata watu wakona driveways kweli au nyumba kama zote zina gate kando ya barabara. π€£ π€£ π€£Hii video yote kila nikiangalia naona miti tu na nyumba za kizamani. πππ ππΎ
View: https://youtu.be/6skh1_il_7I?si=Z6hKj7DCAO7FNu8s. Ndio mana nilisema kama ni battle ya miti na majani then Karen has it. Mbweni is far better, let alone hiyo masaki.
Unatafuta vijisababu upate pumzi.? ππMasaki hata watu wakona driveways kweli au nyumba kama zote zina gate kando ya barabara. π€£ π€£ π€£
Lamu inapokea meli kila baada ya miezi Sita. Wakati hakuna meli tarajiwa ndani ya siku 30 kwa lame port mtwara expect more than two vessels kumbuka sio msimu wa mazaoqThe longest ship ishaidock at Dar port is less than 250 meters, the one that docked at Lamu is 265 meters. So technically haiwezidock at Dar is slum.
Tuzione barabaran sasa brt tanzania zipo 200 lakini zinaonekanaRoad to manufacture 1000 electric buses in Kenya.
Another one.
View: https://youtu.be/sBsGfcDTG80?si=Yu34g6MgQvtejVzv
Look at the serenity, exclusivity and greenery that is Karen. I mean Karen just doesn't have an equal in this region ukiondoa Muthaiga. I have watched the whole video and I haven't seen even a single residential apartment block. Masaki, which bongolalas here compare to Karen, has apartment blocks like everywhere, the kind of thing you see in Lavington or Kileleshwa.This Video is 3 hours old. Keti chini watch the video then tupatie ya Masaki we compare alafu tukucheke. π€£ π€£ π€£
View: https://www.youtube.com/watch?v=6skh1_il_7I&t=2s
Mnaongea ku-unganisha mabasi wakati hamna uwezo wa kuproduce chakula cha kutosha. Hakuna nchi ya watu wenye akili wanafanya mnayo yafanya na kujisifia.Road to manufacture 1000 electric buses in Kenya.
Another one.
View: https://youtu.be/sBsGfcDTG80?si=Yu34g6MgQvtejVzv
Chakula cha kubahatisha unafikiri ni mchezo! Wao wanajinadi mitandaoni kuwa wana assemble buses za stima wakati hawana uwezo wa kuzalisha chakula.Watoto wa kikenya kama mizimu aisee π€£π€£π€£π€£
View: https://youtu.be/fZtC7Hqd-ig?si=cqKIZ3pgmldDBcDW
Wewe si huwa ni matako tuThe longest ship ishaidock at Dar port is less than 250 meters, the one that docked at Lamu is 265 meters. So technically haiwezidock at Dar is slum.
Hii haiifikii hata KinyereziThis Video is 3 hours old. Keti chini watch the video then tupatie ya Masaki we compare alafu tukucheke. π€£ π€£ π€£
View: https://www.youtube.com/watch?v=6skh1_il_7I&t=2s
Unajua maana ya life expectancy at birth wee kichaa? Hiyo yenu mnasemaje, life expectancy at death?π€£π€£Hivi umeenda shule kweli wewe? Unashindwa kuchanganua information hiyo uliyoweka hapo ni life expectancy at birth. Poor mama education
Only poor people think about food, wenye pesa wanaongelea jinsi wanaweza compound their money and generate more revenue streams. Wenye pesa Tanzania wananunua those kenyan build vehicles everyday.Mnaongea ku-unganisha mabasi wakati hamna uwezo wa kuproduce chakula cha kutosha. Hakuna nchi ya watu wenye akili wanafanya mnayo yafanya na kujisifia.
Nyie ni wapumbavu!
Hii meli si ilikwama Dar Port miezi miwili juu hakukuwa na space ya kutosha? Ama unadhani hajui? No ship owner will allow her ship to lose millions by spending 2 months in a port for just unloading 300 containers out of 4,800.Wewe si huwa ni matako tu
View: https://x.com/swahilitimes/status/989206738921541637?t=1tYWj-OTm2iVObocYEpN6g&s=19
Unajua hawa na miti hawapatani. Wakiona miti wanaona pori so kwake hiyo sii parking kisa ina miti. π πBongolala Kasarani has three parking lots. Makwapa iko na moja View attachment 3205296
Just because it's bringing in money doesn't mean it should be shared by the likes of you. Mbaba mkubwa unafuatilia maisha ya wasichana wadogo aje sasa?Diamond Platnumz kapokea zaidi ya $2 mln Youtube wao wanafikiri alikaa kama artists wa Kundurenda hukaa Kibera na kulalamika ati radio zi-play Kenyan music!
Jamaa alishachange gear kitambo ati 3 parking lot ni ya kazi ganiπππUnajua hawa na miti hawapatani. Wakiona miti wanaona pori so kwake hiyo sii parking kisa ina miti. π π
Anasaidia wajukuu wake kufuatilia Diamondππππ€£Just because it's bringing in money doesn't mean it should be shared by the likes of you. Mbaba mkubwa unafuatilia maisha ya wasichana wadogo aje sasa?
Wanadhani entertainment inaishia Dayamondi, Hamonaizi, Simba na Yanga. π πI donβt have time to waste on baboons.
Tanzania entertainment industry
View attachment 3205355
Kenya entertainment industry
View attachment 3205356