Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Asante kwa kukubali kwamba Tanzania tunaishi maisha marefu kuliko nyie na hapo automatically umekubali healthcare system ya Tanzania ni bora kuliko ya Kenya.
 
Btw , Kibera is going through a massive modernization process and in a few years down the road , it will be the new Nairobi’s Masaki but with tarmac roads …😂😂😂
Will that finish slums in Nairobi? There are more than 100 slums in Naipori alone I dont know how long it will take to phase them out.
 
Pole sana, Kasarani ni kubwa sana, land yake wanaweza jenga hata stadium zingine kumi with a capacity of 60k na bado ibaki , haijajengwa kwa plot ya 50 by 100 kama makwapa. 🤣 🤣 🤣
View attachment 3205135
Mko hovyo sana kwa planning, imagine uwanja wakati mnaujenga hamkujua kwamba gari zinatakiwa zipaki hapo, baada ya kupita miaka mingi ndiyo mkachukua maeneo ya pembeni mwa uwanja mkajenga parking jua kali 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hivi umeenda shule kweli wewe? Unashindwa kuchanganua information hiyo uliyoweka hapo ni life expectancy at birth. Poor mama education
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…