Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ukona kelele na hakuna kitu unatuonyesha.
Nakuru - Bomalink Concept Limited

Nakuru - Bomalink Concept Limited
Uchafu kama uchafu mwingine
 
🤣 🤣 🤣 Huoni aibu na hizi nyumba za masquatter, hata barabara ya lami hakuna, landscaping ni zero, miti pia ni shida.
Stick hapohapo kwenye barabara ndio penye salama yako 😂😂😂 ila kwa nyumba za maana and better plan, dodoma is far better.
 
Sijui ubaongea ujinga gani.? 😂😂😂 karibu kila raia in this Ilazo street alone anamiliki nyumba inayofanana kama hii 👇🏾View attachment 3201062halafu cheki ukubwa wa hiyo mitaa sasa. 😂😂👇🏾
View: https://youtu.be/dK4KV8Dr6Jg?si=JYRSgXC7Ywo_P1Mx. Mind you haka ni kasehemu kadogo tu with in Dom.

Wewe mshamba ni kama unafurahia kuona nyumba mingi eneo moja. Ebu compare hii Estate in Kiambu na hio upuzi munafanya huko Dodoma hata barabara hamuwezi jenga. Nyumba nazo pia ni ugly, take notes.

View: https://www.youtube.com/watch?v=5V-0FxyPfVg
 
Umepima na macho ukajijazia ni bigger after umeona Dodoma is trash, ugly houses, no paved roads, no land scaping. 🤣 🤣 Bongolala mumezoea kufanya vitu nusu nusu.
Mradi upo under construction.. kama unaona nakuonea leta vipimo vyake kwa google earth. 😂😂 me ndio kwanza nimeanza, umeshaanza kulia. I promise you utatafuta mitaa mizuri all around kenya na nitakubamiza tu na Dom moja. 😂😂
 
Hakuna cha maana hapo, nyumba ni ndogo kama nyumba za squatters, barabara ni vumbi, proper vumbistan vibes. Kama huko ndio middle class wa Dodoma wanaishi, mkona shida kubwa. 🤣 🤣 🤣
 
Hakuna cha maana hapo, nyumba ni ndogo kama nyumba za squatters, barabara ni vumbi, proper vumbistan vibes. Kama huko ndio middle class wa Dodoma wanaishi, mkona shida kubwa. 🤣 🤣 🤣
3 bedrooms house ni nyumba ya squater.? 😂😂😂
 
Back
Top Bottom