Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Alafu hawa jamaa si walikuwa wanatutambia hapa kwamba na wao wanajenga BRT kama Tanzania, na kuna mnuka nnya mmoja akawa anapost na anabishana kabisa na ichoboy01 kwamba ujenzi umeanza? Nadhani babayao255 anaweza akatuwekea ushahidi wa post ya huyo mnuka nnya akiweka na vithibitisho eti ujenzi umeanza, miaka minne ss hatusikii cha brt wala nn zaidi ya lipstick brt 🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Bado tujenge kiwanja kimoja tu pale Dodoma ili michuano hii tui host wenyewe.
uwanja haujengwi ovyo ni mpaka CAF wenyewe na team yao waridhike na miundombinu ikiwemo road, railway and airport , quality hotels and appartments, availability of quality food, maximum security day and night etc

so kwa kenya wameona ni nairobi kwengine kote ni uchafu tu ndio maana hata bukhungu stadium CAF waliikataa mapema sana

tanzania hata leo tukisema uwanja ujengwe tanga or mwanza CAF hawawezi kupinga kwa sababu miji yetu inajitosheleza kwenye kila kitu ndio maana unaona tanzania imeruhusiwa kujenga viwanja kwenye mikoa minne dar, dodoma, arusha and unguja (znz)

so musiwalaumu sio wao ndio wanachagua hapana ni CAF ndio wanapitisha bro πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nje ya nairobi hakuna kitu cha maana imagine jiji lao la pili halina hata bus terminal na halina hata uwanja wa mpira wakusingiziwa, 5 star hotel unatafuta kwa torch mchana kweupe,
 
kaka mm hawa sibishani nao bure mm nasbishana nao kwasababu nawajua mpaka rangi za chupi zao πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ na hakuna mtu wanamuongopa na kumchukia kama mm coz wanajua muda wowote nawapumulia kichogoni
 
Nyoko wewe mbona renovation zenyu hazijafikia Amahoro stadium?
 
Tangu lini ukweli ukageuka na kuwa wivu? And why should I be jealous of a 20k seater mini stadium when we are building a gigantic 60k football and rugby only stadium?
We should be able to host the HSBC Sevens series btw. The stadium will be able to host it and especially Kenya back on the big leagues and home of Shujaa…
These local leagues will be much more equipped and will be able to train and perform better.
Last evening I was at the RFUEA grounds home of the Kenya Harlequins where the home team beat Impala 48 to 12
I barely took any photos though
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…