Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We nae stop dreaming upuuzi, kula tu inawapiga chenga ndiyo itakuwa vitu kama hivyo, FYI, hao wamejenga kwa pesa yao ndiyo mana wanachagua wanachotaka, nyie c mlichagua uwanja mnaotaka? But mlipompelekea mchina akasemaje? Akawaambia acheni upumbavu, chukueni Kobe huyo na mkafanyaje? C mlikubali? It's because hamna pesa ya kujenga.

Sisi uwanja wa Arusha design tulibuni wenyewe na tulitaka ukae vile, na ndiyo mana utakuwa uwanja wa kisasa zaidi kuliko wowote ule East, Central and west Africa.
 
Nini itaifanya hio ya Arusha the best if I may ask?
 
Yani stadium wanayojengewa ni typical African stadium, cc tunajenga uwanja wa kitofauti kabisa, haukai wa ki Africa. Majibu yataonekana soon, wala tusipate shida, hakuna kitu wamewahi kutushinda linapokuja suala la battle 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kwanza angalia eneo la pitch lilivyokubwa, which means running track is unavoidable, hata kama wakijitutumua kuweka kapeti but siku za mbeleni wanachora cz they know themselves kwamba wao sio football country, angalia 👇👇🤣🤣🤣🤣🤣
 
Jamaa kwanza walipeleka design hii, wakaambiwa wacheni upuuzi Amahoro pia nzuri🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣View attachment 3199398
Tulibuni wenyewe. Nyie ndio mliobuniwa. Nina uhakika kama sii Mkenya aliwabunia ni Mchina.
 
post hvi kaka hua hawafungui 😂😂😂
 
Inakuuma nini?

Unadhani sisi tuna kamradi kamoja kitembeza kila siku?

Usisahau ulikua unasema mchina amekimbia site?

Tulia wewe mzee wa tuoneshe 1km mwisho ukaanza kijiba cha roho baada ya kuona matokeo upo busy kusubiria hitilafu.
Kwani hamuoni aibu kuchimba foundation mwaka mzima? Na kitu mnachimbia shimo milele ni mini stadium ya 20k seaters pekee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…