Sio 80s kuanzia 70s Fiat Calabrese za takatska compactor na bafo compactors ziko nyongi tuu Dar.Tulishakuwa na trucks kama hizi Dar kuanzia miaka ya 80 mwishoni.
Sidhani kama garbage compactors ni kitu cha kushindania hapa.
Sio 80s kuanzia 70s Fiat Calabrese za takatska compactor na bafo compactors ziko nyongi tuu Dar.Tulishakuwa na trucks kama hizi Dar kuanzia miaka ya 80 mwishoni.
Ngoja nikuelimishe we mwehu, Henna kiislamu ni Sunna ya Mtume Mohammad S.A.W. Kwa mfano hapo zamani walitakiwa wazee wa kiislamu kupaka henna ndevu zao nyeupe ili kujitofatisha na wazee makafiri wa kikuraish . Yaani hivi. 👇🏾Henna in Kenya is used by women only 😂😂
Not on a man to act as a tatoo. Why? Because he cannot stand the pain? Tanzanians 😂
I was really hoping that you brought examples of other men using henna on their bodies, I almost forgot you are just Tanzanian, apologies for my high expectations 😂Ngoja nikuelimishe we mwehu, Henna kiislamu ni Sunna ya Mtume Mohammad S.A.W. Kwa mfano hapo zamani walitakiwa wazee wa kiislamu kupaka henna ndevu zao nyeupe ili kujitofatisha na wazee makafiri wa kikuraish . Yaani hivi. 👇🏾View attachment 3197496makafiri walifanana hivi 👇🏾View attachment 3197513Kwahiyo henna inatumiwa na wanaume pia (wewe huna elimu hii nyamaza. 😂😂
Kwa suala la Twaha kiduku kupaka henna mwilini mwake ni kwasababu yeye ni muislamu na kimsingi kiislamu tattoo ni haram, Kwahiyo kuliko achore tattoo iendelee kubaki mwilini mwake he chose to use henna yenye itakaa kwa muda mchache then itafutika. (Hana mpango wa kuchora tattoo ).
Baba yako Geza ndio alianza comparisons, ebu muulize alikua anashindania nini?Sio 80s kuanzia 70s Fiat Calabrese za takatska compactor na bafo compactors ziko nyongi tuu Dar.
Sidhani kama garbage compactors ni kitu cha kushindania hapa.
Henna ni tamaduni za kiarabu, sitarajii kabisa kwa wewe mpori mpori ambae si hata Muslim ujue hayo. 😂😂😂 ikiwa kitu huna elimu nacho Kaa kimyaI was really hoping that you brought examples of other men using henna on their bodies, I almost forgot you are just Tanzanian, apologies for my high expectations 😂
Kundudwellers wanasumbuliwa na njaa. Hawajui ni kipi chao au siyo chao. Njaa ni laanaHenna ni tamaduni za kiarabu, sitarajii kabisa kwa wewe mpori mpori ambae si hata Muslim ujue hayo. 😂😂😂 ikiwa kitu huna elimu nacho Kaa kimya
nairobae Hatuhesabi Vijiji kumbe mabijiji hayana umeme 😂😂👇👇
View: https://x.com/TheStarKenya/status/1877700018544550166?t=syxIOhoRJ5FiM822iRw_Fg&s=19
Hapana najua maana ya village electrification 😂😂Unajua maana ya household kweli? Ju mimi naona wamehasabu household sio village. Mbona bongolalas mnakuanga slow hivi lakini?
Jirani anateseka sana aiseee
![]()
![]()
Utaambiwa hapo ni porini.😂😂Bongolalas wanapitia maisha magumu sana.
![]()
![]()
![]()
![]()