Leta hio mitaa yenye iko na adress na street walk from Naipori tuone. πππ bongo hadi Tandale kuna street address sembuse Masaki.?
Like seriously.? πππ unaleta takatakaulinganishe na masaki.? This neighborhood of yours is full of dirty roads udongo mwekundu umetawala, no sidewalks.
You have never hosted an global event. How will you know.Wewe kocho kwani hapo magari yameanza kupaki leo.? ππ tushahost mashindano makubwa Africa hadi raisi wa FIFA alikuepo na uwanja ukapiga full house kama kawaida 60k spectators, uliwahi kuskia parking haitoshi.? ππ una force mambo mbona we chizi.? ππΎ
View: https://youtu.be/uvWz5we1J4k?si=1yT2OMRuKweAlrCd. Umia kidogo hebu.
Umebadili mada.? ππYou have never hosted a global event. How will you know.
Umeona maghorofa zimetapakaa huko bila mpangalio? Umeona tuktuk zikirandaranda huko? Umeona kama kuna uhaba wa side walks? Umeona kama kuna nyumba imekosa house number? Tulia mfunzwe.Like seriously.? πππ unaleta takatakaulinganishe na masaki.? This neighborhood of yours is full of duty roads udongo mwekundu umetawala, no sidewalks.
Wait till you host a global event ndio utajua umuhimu wa kua na enough parking.Umebadili mada.? ππ
Muthaara village in Tigania imekuwa Mombasa? Na tukiwaambia hamjakanyaga hata Namanga mnasema eti tusifosi tufanane.ππQ
Hiyo ya juu ni Mombasa na hii iliyoweka ni rural sasa tukienda kwe rural zenu si utakimbia hapa
Let alone house number, hakuna nyumba yenye haina namba TZ (hadi zile mnazozibeza za uswazi ziko na namba). Hapo kenya kuna kitu kama hiki. ππΎUmeona maghorofa zimetapakaa huko bila mpangalio? Umeona tuktuk zikirandaranda huko? Umeona kama kuna uhaba side walks? Umeona kama kuna nyumba imekosa house number? Tulia mfunzwe.
Umesnza kuokota picha?
Hizi munaweka na Dar is a slum imejaa vichochoro. Joke of the century. π€£ π€£ π€£Let alone house number, hakuna nyumba yenye haina namba TZ (hadi zile mnazozibeza za uswazi ziko na namba). Hapo kenya kuna kitu kama hiki. ππΎView attachment 3196792hizi signage zipo in every single street that is found in Tz. πππ hadi vijinini huko
Hivi bado mpango huu upo?maana ulikuwepo kipindi cha kikwete.Na bado kurasini logistics centre iko mbioni kujengwa.
Sasa sio Dar tu in case u donβt know, theyβre all around the country ππ yani hadi vijiji za kigoma huko utapatana nazo.Hizi munaweka na Dar is a slum imejaa vichochoro. Joke of the century. π€£ π€£ π€£
Heb acha kuikosea heshima hii mbweni mkuu. Quality za barabara na usafi wake sio vya kulinganisha na kamtaa kokote hapo Naipori.
Unadhani hatujui, si tulikua hapa tukiona wengine wengine wakiweka hadi za miti, na kujiwekea majina za kushangaza. That's not how an address system works. Hua munapenda kufanya vitu kienyeji sana huko bongoslum.Sasa sio Dar tu in case u donβt know, theyβre all around the country ππ yani hadi vijiji za kigoma huko utapatana nazo.
So kuwa na namba ya nyumba tu ni better kama mlivyokua huko kwenu.? ππ and how can someone address mtaa fulani without having those signage.? Hizi zipo ulimwenguni kote ispokua taifa la kimaskini Kenya (coz you canβt afford) ππduniani huko πUnadhani hatujui, si tulikua hapa tukiona wengine wengine wakiweka hadi za miti, na kujiwekea majina za kushangaza. That's not how an address system works. Hua munapenda kufanya vitu kienyeji sana huko bongoslum.
Inaitwa putting lipstick π on a pig π·β¦.. π€£π€£π€£Hizi munaweka na Dar is a slum imejaa vichochoro. Joke of the century. π€£ π€£ π€£
Unaumia kinoma. Pole kwa maumivu. ππInaitwa putting lipstick π on a pig π·β¦.. π€£π€£π€£
No words needed β¦ debunked!This is very far from the stadia we Lia tu mzee ππ
Mjifunze landscaping, hio mbweni ni estate bado inajengwa na tayari roadside imejaa vichaka. Mjifunze landscaping tafadhali.