Leta nioneKwani hujaona mashamba Karen na Runda?
Way above KQ wakati imebakisha kupiga safari za ndani kama daladalaLipeni mkopo wa Afriexim bank kwanza halafu ndio muongee! As far as i know Air Tanzania is way above KQ!
No wonder you are using a small I to denote yourself, ju wewe ni fala.Lipeni mkopo wa Afriexim bank kwanza halafu ndio muongee! As far as i know Air Tanzania is way above KQ!
IMF ya Mazense ama gongo la mboto?IMF na all International Organization zinajua, Kenya is a hopeless Country kama huamini kamuulize Ruto aka Kasongo atakupa jibu hili hili.
Penda kwenu msee. π€£ π€£ Ebu ona Makwapa stadium and neighboring slums.Weka barabara za chini Kuna kitu nimekumbuka
Passengers Lorry I guess π€£π€£π€£π€£View attachment 3195541
Kwa kizungu hii inaitwaje,naomba msaada
You want to come in very late to the party and claim to be the king that no one asked ππ what a strategy.sisi hatuzungumzii mambo ya supermarket sisi tunazungumzia kua hii ndio itakua china ya africa ππππ»ππ»ππ»
View: https://www.instagram.com/p/C-ubbLmoETh/?igsh=eWVobDd1Z2xmdzI5
China ni safari ya ndani, Dubai ni safari ya ndani, India ni safari ya ndani, SA ni safari ya ndani, Zimbabwe ni safari ya ndani, Zambia ni safari ya ndani, Congo ni safari ya ndani, Uganda ni safari ya ndani, Comoro je. The problem with you Jaluo ni jealous.Way above KQ wakati imebakisha kupiga safari za ndani kama daladala
πππ umevuta nini? Show me 18 lanes tafadhaliSio 16, ni 18 lane road, angalia vzr na uwache wivu. Hizo za pembeni zipo tatu kulia na tatu kushoto, za kati zipo 6 upande mmoja na 6 upande wa pili. Tumewaacha mbali.
Duuuuhhh na shule nyingi Kenya za mashinani zinakaa hivi aiseee.
Unaziona na bado unajifanya kichaa.πππ umevuta nini? Show me 18 lanes tafadhali
Ningependa kujua grade yako ya high school kwa sababu ni kama haujui kufualitia maagizo ama kuwa makiniHakuna mji Africa ukakosa mashamba, sijajua labda Joburg but napo ni Africa tu kuna wasaka tonge kama kawaida, hao ******* wanaposema Nairobi hakuna mashamba so, wanataka kuongopa kwamba kumejengeka kote? Hivi hawa jamaa mara ngapi humu zimepostiwa picha za mashamba pale slum city, au hawaelewi maana ya shamba, mana kwao shamba wanamaanisha kiwanja, je kwao hakuna viwanja viko empty? ******* tu hao.