Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe Mganga wa Tandaleโ€ฆ. Hujui Kasarani imehost major global events including World Junior championships na Continental global track meet โ€ฆ Dunia mzima imekunja Kasa โ€ฆ what global event has Mkapa hosted ?โ€ฆ..
Then pamoja na kuhost ikawa sio fifa quaalifier
 

Kwa kizungu hii inaitwaje,naomba msaada
 
Kwani hujaona mashamba Karen na Runda?
Hakuna mji Africa ukakosa mashamba, sijajua labda Joburg but napo ni Africa tu kuna wasaka tonge kama kawaida, hao ******* wanaposema Nairobi hakuna mashamba so, wanataka kuongopa kwamba kumejengeka kote? Hivi hawa jamaa mara ngapi humu zimepostiwa picha za mashamba pale slum city, au hawaelewi maana ya shamba, mana kwao shamba wanamaanisha kiwanja, je kwao hakuna viwanja viko empty? ******* tu hao.
 
Wacheni excuses, hata sisi lineup yetu haikuwa na first team hata mmoja. Unaongea ni kama huwa mnatupiga tukikutana.
So, top scorer wa ligi na MVP wa ligi hawamo kwenye team ya taifa? Kwahiyo unapoongopa unapata nn? Over 90% ya wachezaji wenu wanatoka kwenye ligi yenu na wachache wanatoka ligi zingine ikiwamo NBC pl, acha ujinga.
 
Eti hakukua na first team hata mmoja wakati mmepeleka kipa wa first team pamoja na beki? Tena kucheza na kipande cha Kilimanjaro heroes.

View attachment 3195522

View attachment 3195528
So player mmoja pekee na ni Goalkeeper mwenye hata hakupata tisho lolote.......yani hata tungecheza bila keeper tungeshinda tu. ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
Mnapenda kutafuta excuses pale mnapopigwa.
 
Consoling each other is the best you can do ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ