Tanzania ni nchi ya kulinganisha na Mexico au India in terms of development? Are you taking your meds well?Wewe ni fala, hapo ni nchi gn developed ukiacha China ambayo inajulikana ni wafanyabiashara?
Tuletee habari ya mashamba(farming land) kuuzwa Nairobi tuoneSo, unashangaa shamba kuwepo dar? Kwani Nairobi hakuna mashamba? Kaeneo kenyewe kadogoo only 600 sqkm na bado kuna mbuga ya wanyama 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Bongolala umesahau nchi yako ndio inaongoza kwa umasikini ukanda huu? Mbona mnajiliwaza hivi!?As u call kibera "very specific place",nyie na umaskini na uchafu ni chanda na pete!
Dar ni ushago na uswazi 90% 🤣 🤣So, unashangaa shamba kuwepo dar? Kwani Nairobi hakuna mashamba? Kaeneo kenyewe kadogoo only 600 sqkm na bado kuna mbuga ya wanyama 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Unafikiri Nairobi ni Dar yenye mashamba ya mihogo? Au nikuletee picha za mashamba ya mihogo ndani ya Dar?Mashamba ya mihogo yaleee 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Sinza inawezalinganishwa na wapi Nairobi kijana? Sinza haingii hata Ngara roboTangu juzi nilimwambia haijui Sinza zaidi ya kuokoteza picha mtandaoni tuu.
Kuna kipindi nilileta humu picha za mashamba za mihogo ndani ya Dar. Tena mashamba makubwa sana. Tell me where in Nairobi you can get any farming landUshago vibes, wanauziwa hadi mashamba ya kufanya kilimo in dar is a slum. 🤣🤣🤣
View: https://x.com/DalaliMoyodsm/status/1839256439648346354
Jana mmoja wenu alisema hata hiyo draw haitafanyika Kenya. Less than 24 hours later, the storyline has changed to it's the only thing we'll do.Walichobaki nacho ni ku host draw tuu ili na wao wapate neema za CHAN 🤣🤣🤣
Is this Dar es salaam?😳Maghorofa yanajengwa wapi? 🤣🤣
Hawa ni desperation na ujinga ndio huwasumbuaKwa hivo Vumbistan ni matajiri kushinda China, Germany, France na Belgium sivyo?
Napenda ulivyobadilisha mkondo from Tanzanians receive investments to remittances are for poor cuntries. 😂 😂
View attachment 3194463
Kwahiyo mnajidanganya halafu mnajichekesha 😂😂 hiyo Tanga tu my hometown unayo Toyota show room.You mean Mwanza Haina showroom ya Toyota! 🤣🤣🤣🤣Kitu hata Kisii town Iko nayo!
Our dealerships | Toyota Kenya
Find the nearest CFAO Mobility Toyota dealership. Network of certified dealerships. Opening hours, addresses, and contact details available.www.toyotakenya.ke
Alafu tukiwaambia wakenya wanamiliki magari mengi kuwaliko wanaleta kelele
Yes of course.Is this Dar es salaam?😳
Pengine kwa ndoto zako, ebu tuonyeshe showroom ya Mwanza tucheke. 🤣 🤣Kwahiyo mnajidanganya halafu mnajichekesha 😂😂 hiyo Tanga tu my hometown unayo Toyota show room.
Kilele na empty talk situmiagi mimi 👇🏾Toyota Tanzania Tanga - Google Search.Pengine kwa ndoto zako. 🤣 🤣
Showroom iko wapi hapo? Au unaita garage showroom.Kilele na empty talk situmiagi mimi 👇🏾Toyota Tanzania Tanga - Google Search.
We mshamba showroom inafanana hivi kama hujui.Kilele na empty talk situmiagi mimi 👇🏾Toyota Tanzania Tanga - Google Search.
Mbona unaita garage showroom. 🤣 🤣 🤣 Huoni hata ni tyres zimeanikwa huko ndani.
Kumbe tunabishana na kichaa.? 😂😂 can’t you see humo ndani kuna gari ziko displayed.?Mbona unaita garage showroom. 🤣 🤣 🤣 Huoni hata ni tyres zimeanikwa huko ndani.
Hii inakaa kibanda ya mama ntilie. 😅We mshamba showroom inafanana hivi kama hujui.