Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hivi kwa akili za kimavi kama hizi, Kenya itatoboa kweli? Hujisikii aibu? Hivi wakenya wenzio wanakuonaje? Au wanajisikiaje, wakenya hamna akili wallahi.
 
Kwanza yule fake Bond 007 alicompare na Alaska. Hiyo Arizona alijificha nayo after tumemuumbua jinsi Alaska ilivyo tofauti na Dodoma. Don't give him too much credit🤣🤣
 
Una hasira sana bongolala. Mkeo kakuacha?
 
Kwahiyo wakati wanajenga hivyo vifaa letsay kokoto na the like vilipaaa angani?
Oh my God!🤣🤣🤣🤣
I give up on these special species. Dude, do you really know what a service road is in this context?
 
hiyo sio srvice road ni barabara iliyotumika na mkandarai kuleta material site kama kokoto na mchanga na hakuruhusiwi kujenga kitu chochote kwa ababu ipo nani ya beacon za trc.. iko hivyo kwa karibia njia yote ya dar mpaka mwanza
Si kilaza mwenzako alisema ni service road. Wewe sasa unakana. Sasa tumuamini nani kati yako na yule kilaza mwingine?
 
Hivi kwa akili za kimavi kama hizi, Kenya itatoboa kweli? Hujisikii aibu? Hivi wakenya wenzio wanakuonaje? Au wanajisikiaje, wakenya hamna akili wallahi.
Wewe mwenye akili si unaishi uswazini Tandale na mshahara ya kazi yako ya watchman
 
Si kilaza mwenzako alisema ni service road. Wewe sasa unakana. Sasa tumuamini nani kati yako na yule kilaza mwingine?
inategemeana na uelewa wako wa service road. happ reli ishaanza tumika na hio barabara bado inaendelea kutumika kwa muda kama service road kwa sababu bado kuna ujenzi unaendelea kama kuweka fence pembeni ya reli, pia bado kuna ubebaji wa kokoto mwe na mataruma ambayo hubebwa kutoka kwenye kiwnda pale pugu nakupakiwa kwenda posta kweye ujenzi wa underground tunnel inajengwa ,pia kuna ujenzi bado unaendeleakwenye karakana ya dodoma.
(Service roads, or frontage roads, run parallel to a main road and allow local traffic to gain access to property. Where major roads are bordered by commercial or residential development, service roads are a safe way to allow vehicles to access these properties with little disruption to other traffic)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…