Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bradhee, hivi hizi picha ni za Morogoro?


Acha kujikuta unaijua Tanzania fwala wewe, First pic ni Dodoma, na hiyo barabara ni barabara aliyotumia mkandarasi wakati wa ujenzi (Iko nyuma ya station), sio barabara rasmi, hilo eneo lote lina fence ya TRC.
Second Pic ni kutoka Morogoro station (kwa nyuma) na hiyo barabara iko nje kabisa ya station ya Morogoro na iko under construction maana mkandarasi hajamaliza kazi.
 
Wewe kichaa nilitaka kumaanisha Arizona, tunajenga Dodoma ili iwe Arizona yenu, msije kusema hatujawaambia. Alafu hujaacha kujifanya mjuaji we watchman? Au nipost ile picha yetu 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
The fool is now trying to save face. Get the fvck outa here watchman!
 
Unavyo potosha kwa kusema ni Dodoma ni sawa?
Niliona upotoshaji wako jana nikataka kujibu nikakumbuka huwa sina tabia ya kujibu wakumbaf ila kwa sababu umeshoboka unataka kupigwa mpini imebidi nijibu.
Hizo 10km ziko wapi hapa!
View attachment 3191205
ukiwa unampa elimu mpe na konzi la kwenye kichogo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wakujengee hizo hospitali mbili halafu kwenye kampeni za uchaguzi mkuu mwaka huu waje na ahadi gani?
Mimi naona ni sawa wamenunua ili waache kutumia ndege za ATCL.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…