Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndio mumejua umuhimu wa dryport in 2025, enyewe mnakuanga nyuma kama matako. 🀣 🀣 🀣
Wewe kinachokusumbua ni ushamba. Miaka na miaka kuna Dryport Isaka Kahama Uganda, Burundi, Rwanda na DRC wanaenda kuchukulia huko.

Tatizo ni kuwa Train inabeba mzigo mdogo.

Acha kujifungia kibera
 
Uliza Isaka Dry port iko toka lini? Kabla hata hamjakuwa na dry port kenya Isaka ipo na ina function
Ju iko kwa route ya SGR, usiwe pumbavu. 🀣 🀣 You know very well what I was talking about.
 
kwa makusanyo hayo nilitegemea tozo zote zitolewe kwa sasa hasa hii tozo ya miamala ya simu inaumiza sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…